Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,626
- 164,713
Ngoja uone uchaguzi mdogo wa Oktoba 13 kama matapata hata asilimia 20 ya waliojiandikisha.Chadema hamkutumia vizuri upepo wa 2015..sasa inakula kwenu.poleni
Ndio maana nimekwambia CHADEMA ni watu na watu ni CHADEMA na wala sijasema Mbowe ni CHADEMA au CHADEMA ni mbowe.Ujinga ni kuaminisha watu kuwa bila Mbowe hakuna Chadema .....sawa kusema bila Magufuli Tanzania haiwezi kuendelea...
Tujikite kuamini Taasisi sio watu..
Mkuu me sio ccm wala sina chama(yet)..nimetoa mawazo yangu tu..Ngoja uone uchaguzi wa Oktoba 13 kama matapata hata asilimia 20 ya waliojiandikisha.
Wanatakiwa warudi darasani wakajifunze siasa ni nini maana wanafikiri siasa ni vita na mababu na si kuwa karibu na wananchi.Tatzo waliamini kila chama kipo kipropoganda ili waendelee kupata misaada ya mabwanyenye.
Imekuwa tofauti baada ya kuibuka upinzani wa kweli kutoka moyoni si ule wa akina Mlema wa kuigiza.
Na walistuka zaidi baada ya kina Zito kutolewa kule CDM na kubaki chadema kama chadema isio na matuta hapo ndo waliona hesabu zao ziko vibaya.
Ndio maana unaona hamahama hiyo ni plan B baada ya kuona Plan A imeshindwa kwa kutaka kuinua ACT kuwa mbadala wa Chadema
Ebana eeh naogopa wait Land Rover naishia hapa tafadhali na siasa sio jadi yangu
Kweli kabisa mfano jimbo la kinondoni waliandika watu zaidi ya laki 2 lakin waliopiga kura ni robo.Watu aashajua kupiga kura ni kupoteza muda.Na kwa kweli 2020.kura zote nchi nzima zinaweza kuwa milion 5 tu.Kila mtu anapambana kupata chochote cha kumfaidisha.Sio kweli kwamba Magufuli au Ccm inapendwa.Nimefanya utafiti watu wengi wanavinyongo ila wanapiga maisha yanasonga.Watu wamepoteza iman na wanasiasa na ccm pia.Fikiria zaidi ya 30%ya wasomi hawana ajira rasmi.Ngoja uone uchaguzi wa Oktoba 13 kama matapata hata asilimia 20 ya waliojiandikisha.
Kama kweli wanampenda Jiwe, basi tutaona misururu mirefu kwenye polling stations ikiwa ni ishara ya kuunga mkono juhudi.
Kile kipigo cha mbwa koko 2015 (ccm 30% CDM 70%) kiliwachanganyaKamanda wa anga, Mh.Mbowe, hawa ma-CCM uliwafanya nini?
Vyama vya upinzani viko vingi, lakini wenyeviti wa vyama hivi hatusikii wakiandamwa kama wewe.Tatizo ni nini?
Ungekuwa unapenda cheo, hivi hata uwaziri mkuu wasingekupa mradi tu uondoke CHADEMA?
Jamani, CHADEMA ni chama cha watu, hivyo ukitaka kukiua, ua kwanza watu kama utaweza na ukishindwa, basi jiunge nasi.
Hata hawa wanaojiuzulu na kuhama;wengi kama sio wote, bila udhamini wa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa 2015; wasingeshinda hizo nafasi.
Acheni kutwanga maji kwenye kinu, mnapoteza muda na nguvu zenu bure!
All you can do ni kuchelewesha tu mabadiliko lakini kamwe si kuyazui.
CHADEMA ni watu, na watu ni CHADEMA.
pia wakumbuke hao wavulana wameonekana baada ya ✌ ✌ kuwaweka juu nani angemjua mlevi waitara bila Chadema kumpandisha ligi kuu?Kamanda wa anga, Mh.Mbowe, hawa ma-CCM uliwafanya nini?
Vyama vya upinzani viko vingi, lakini wenyeviti wa vyama hivi hatusikii wakiandamwa kama wewe.Tatizo ni nini?
Ungekuwa unapenda cheo, hivi hata uwaziri mkuu wasingekupa mradi tu uondoke CHADEMA?
Jamani, CHADEMA ni chama cha watu, hivyo ukitaka kukiua, ua kwanza watu kama utaweza na ukishindwa, basi jiunge nasi.
Hata hawa wanaojiuzulu na kuhama;wengi kama sio wote, bila udhamini wa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa 2015; wasingeshinda hizo nafasi.
Acheni kutwanga maji kwenye kinu, mnapoteza muda na nguvu zenu bure!
All you can do ni kuchelewesha tu mabadiliko lakini kamwe si kuyazui.
CHADEMA ni watu, na watu ni CHADEMA.
Tatizo amekua Ayatollah Mbowe Chadema,Mwenyekiti wa Kudumu Chadema, CCM inachokifanya ni kama USA kuondoa viongozi waliokaa madarakani Muda mrefu kwa kuminya DemokrasiaTatizo ni nini?
Imekula kwa watanzania na si chadema. Fikiri mbele zaidi ya hicho unachowazaChadema hamkutumia vizuri upepo wa 2015..sasa inakula kwenu.poleni
kwa taarifa yako Mbowe ni chuma cha pua hata usalama wa taifa wanalijua hilo na wanasema ukitaka kuimaliza CHADEMA mazima basi Mbowe atolewe ,hivyo wametengeneza vipropaganda uchwara vya kumtaka mbowe atoke!!Ujinga ni kuaminisha watu kuwa bila Mbowe hakuna Chadema .....sawa kusema bila Magufuli Tanzania haiwezi kuendelea...
Tujikite kuamini Taasisi sio watu..