Freelancer Producer

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
2,280
Reaction score
1,366
..kuanzia
..pre production(writing script,screen play..
..production..
..post production..(editing,graphics...
..documentary..short film..TV program..etc...
mengine tunaongea

...kama una video production/media house yako unahitaji producer wa muda..( part time)
kampuni iwe na mtazamo wa kibiashara zaidi...ikizingatia kipindi hiki cha ulimwengu wa digital

niPM

tafadhali kama haikuhusu usichangie
 
umesema mwenyewe kama haituhusu tusichangie basi mm sitoi mchango wangu ng'oooo
 

Kila mtu anajiita producer siki hizi weka link ya showreel ya kazi ulizofanya na role yako na credits..
 
Kila mtu anajiita producer siki hizi weka link ya showreel ya kazi ulizofanya na role yako na credits..
najiamini kuliko unavyodhani..nishasema mwenye nia ya kufanya kazi aje..PM...porojo sitaki...km huamini poteza...
we ni mkali wa nini?
 
najiamini kuliko unavyodhani..nishasema mwenye nia ya kufanya kazi aje..PM...porojo sitaki...km huamini poteza...
we ni mkali wa nini?

Mi ndio natoa kazi kwa wachovu kama nyie hapa mjini na simpi kazi mtu bila kuona Showreel yake. Nenda kokote duniani upande wa film production cha kwanza tunaomba showreel. Every filmmaker knows this unless.. Nipe link hapa tuone ulichofanya kama unavyojitangaza isije ikawa hukusomea au mpiga picha wa harusi.. Ona mwenzio hapa btoonz showreel - YouTube
 
kuonesha kwamba hujui kitu...post haisemi tuoneshane hadharani inasema kma una media house ni PM..we sijui boya la wapi...kweli unawapa kazi wachovu...hahahahahaha..soma post vzr...naona unanipotezea muda..
mie nataka mwenye media house..tupange mipango ya kuuza content wewe una kipi umefanya kwenye hii industry?..mie ndio nimeingia...hebu na wewe sifa ya production house yako hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…