mkuu enzi hizo kabla ya hizi windows za kisasa kulikuwa na hio DOS,
hivyo ukiwa na hio freeDOS utaweza run programs za kizamani za MS-DOS na vigame vya zamanii sana.
ila kwanini unaikuta kwenye pc?
laptop zilikuwa zinakuja na windows, hivyo unavyonunua laptop unanunua pia windows, watu wakawa wanalalamika wengine hawatumii windows, ndio.maana kuna pc zinakuja na DOS then unaeka os unayotaka.