Gabeji JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 2,112 Reaction score 3,036 Sep 27, 2025 #1 Mungu mwema jamani, ameanza kujibu maombi ya watanzania, juu ya kurudisha nchi yetu katika mikono salama ya wananchi. Audui yetu ameanza kusalenda
Mungu mwema jamani, ameanza kujibu maombi ya watanzania, juu ya kurudisha nchi yetu katika mikono salama ya wananchi. Audui yetu ameanza kusalenda
Doyi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2011 Posts 1,788 Reaction score 2,226 Sep 27, 2025 #2 Kipi kimetokea
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,375 Reaction score 32,220 Sep 27, 2025 #3 October 29 jeshi likisema litasindikiza maandamano itaisha mapema sana. Mungu Ibariki Tanzania.
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 5,084 Reaction score 8,350 Sep 27, 2025 #4 magnifico said: October 29 jeshi likisema litasindikiza maandamano itaisha mapema sana. Mungu Ibariki Tanzania. Click to expand... Nini kimetokea?
magnifico said: October 29 jeshi likisema litasindikiza maandamano itaisha mapema sana. Mungu Ibariki Tanzania. Click to expand... Nini kimetokea?
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 21,443 Reaction score 30,197 Sep 27, 2025 #5 Gabeji said: Mungu mwema jamani, ameanza kujibu maombi ya watanzania, juu ya kurudisha nchi yetu katika mikono salama ya wananchi. Audui yetu ameanza kusalenda Click to expand... Wale wavaa kobazi wanao jipendekeza katika kila jema wakidai ni wao...tunataka kuwaona wakipambania taifa siyo kubinua matako tu kuwa walipigania uhuru kuliko wengine...wakati hatuwaoni kwenye kupigania haki uhuru , utaifa ,uzalendo,wala kupigania damu ya wazalendo inayo mwangwa na ROSTAM AZIZI ZIZI,ABDUL NA SA100.... adriz The Consigliere FaizaFoxy Bwana Utam Jagina Mufti kuku The Infinity The Icebreaker Al-mukheef Covax Malaria 2 THE BIG SHOW Tlaatlaah
Gabeji said: Mungu mwema jamani, ameanza kujibu maombi ya watanzania, juu ya kurudisha nchi yetu katika mikono salama ya wananchi. Audui yetu ameanza kusalenda Click to expand... Wale wavaa kobazi wanao jipendekeza katika kila jema wakidai ni wao...tunataka kuwaona wakipambania taifa siyo kubinua matako tu kuwa walipigania uhuru kuliko wengine...wakati hatuwaoni kwenye kupigania haki uhuru , utaifa ,uzalendo,wala kupigania damu ya wazalendo inayo mwangwa na ROSTAM AZIZI ZIZI,ABDUL NA SA100.... adriz The Consigliere FaizaFoxy Bwana Utam Jagina Mufti kuku The Infinity The Icebreaker Al-mukheef Covax Malaria 2 THE BIG SHOW Tlaatlaah
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 13,356 Reaction score 41,662 Sep 27, 2025 #6 Bila kafara hakuna freedom
Gabeji JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 2,112 Reaction score 3,036 Sep 27, 2025 Thread starter #7 Siku zinahesabika mkuu, uchafu wote utatolewa
Gabeji JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 2,112 Reaction score 3,036 Sep 27, 2025 Thread starter #8 Red black said: Bila kafara hakuna freedom Click to expand... Nguvu ya uma ni kubwa kuliko,
Gabeji JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 2,112 Reaction score 3,036 Sep 27, 2025 Thread starter #9 Mungu anaenda kufanya jambo amezing
canular JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 1,071 Reaction score 1,283 Sep 27, 2025 #10 Gabeji said: Mungu mwema jamani, ameanza kujibu maombi ya watanzania, juu ya kurudisha nchi yetu katika mikono salama ya wananchi. Audui yetu ameanza kusalenda Click to expand... tutoke kwa wingi 29/10/2025 tukaandamane
Gabeji said: Mungu mwema jamani, ameanza kujibu maombi ya watanzania, juu ya kurudisha nchi yetu katika mikono salama ya wananchi. Audui yetu ameanza kusalenda Click to expand... tutoke kwa wingi 29/10/2025 tukaandamane
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,633 Reaction score 8,411 Sep 27, 2025 #11 Mi naona maneno mengi yapo kwenye mitandao vijana ni waoga uthubutu upo kwenye midomo
K KERATO MOMBAA JF-Expert Member Joined Feb 4, 2025 Posts 3,804 Reaction score 4,933 Sep 27, 2025 #12 Hv mnadhani jwtz ni redbrigade ya chadomo eti! Kwamba kila kamati kuu ya maudenda ikisema leo finya huyu, wanafinya eti?
Hv mnadhani jwtz ni redbrigade ya chadomo eti! Kwamba kila kamati kuu ya maudenda ikisema leo finya huyu, wanafinya eti?
Gabeji JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 2,112 Reaction score 3,036 Sep 27, 2025 Thread starter #13 canular said: tutoke kwa wingi 29/10/2025 tukaandamane Click to expand... Kabisa
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,754 Reaction score 13,433 Sep 27, 2025 #14 Naomba nikulekebishe kidogo, sema kuelekea nchi ya ahadi siyo kurudisha kwani ilikua yenu?, ilikua ya wazee wazungu wakaiba wakampatia ndugu yao ccm na saa inakalibia uhuru kamili wa Watz wote.
Naomba nikulekebishe kidogo, sema kuelekea nchi ya ahadi siyo kurudisha kwani ilikua yenu?, ilikua ya wazee wazungu wakaiba wakampatia ndugu yao ccm na saa inakalibia uhuru kamili wa Watz wote.
al1 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2024 Posts 900 Reaction score 1,611 Sep 27, 2025 #15 Tatizo linaanza Kwa wale viongozi wa kubwa wa usalama ambao tuna matumaini nao, na wenyewe ni mafisadi mapapa Sasa sijui tutakuwa wageni wa nani.
Tatizo linaanza Kwa wale viongozi wa kubwa wa usalama ambao tuna matumaini nao, na wenyewe ni mafisadi mapapa Sasa sijui tutakuwa wageni wa nani.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 170,009 Reaction score 188,107 Sep 27, 2025 #16 Muda huongea... Cc: Mahondaw
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 5,084 Reaction score 8,350 Sep 28, 2025 #17 Bado siku 1 tu imebakia watu waingie barabarani
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 34,006 Reaction score 32,769 Sep 28, 2025 #18 canular said: tutoke kwa wingi 29/10/2025 tukaandamane Click to expand... Toka wewe, ustuambie eti tutoke. Tuende wapi? Tuna mambo mengine ya kufanya🤣😂😎😁 Cc: Mimi Wewe Yule
canular said: tutoke kwa wingi 29/10/2025 tukaandamane Click to expand... Toka wewe, ustuambie eti tutoke. Tuende wapi? Tuna mambo mengine ya kufanya🤣😂😎😁 Cc: Mimi Wewe Yule
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 5,992 Reaction score 22,418 Sep 28, 2025 #19 magnifico said: October 29 jeshi likisema litasindikiza maandamano itaisha mapema sana. Mungu Ibariki Tanzania. Click to expand... Kwa mamilioni anayopewa mkuu wa majeshi, sahau hilo jeshi kusaidia chochote
magnifico said: October 29 jeshi likisema litasindikiza maandamano itaisha mapema sana. Mungu Ibariki Tanzania. Click to expand... Kwa mamilioni anayopewa mkuu wa majeshi, sahau hilo jeshi kusaidia chochote
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 4,764 Reaction score 3,574 Sep 28, 2025 #20 Akili za chadema bwana🤣🤣🤣🤣