Freedom inakaribia sana

Freedom inakaribia sana

Mungu mwema jamani, ameanza kujibu maombi ya watanzania, juu ya kurudisha nchi yetu katika mikono salama ya wananchi.
Audui yetu ameanza kusalenda
Wale wavaa kobazi wanao jipendekeza katika kila jema wakidai ni wao...tunataka kuwaona wakipambania taifa siyo kubinua matako tu kuwa walipigania uhuru kuliko wengine...wakati hatuwaoni kwenye kupigania haki uhuru , utaifa ,uzalendo,wala kupigania damu ya wazalendo inayo mwangwa na ROSTAM AZIZI
ZIZI,ABDUL NA SA100.... adriz The Consigliere FaizaFoxy Bwana Utam Jagina Mufti kuku The Infinity The Icebreaker Al-mukheef Covax Malaria 2 THE BIG SHOW Tlaatlaah
 
Hv mnadhani jwtz ni redbrigade ya chadomo eti!
Kwamba kila kamati kuu ya maudenda ikisema leo finya huyu, wanafinya eti?
 
Naomba nikulekebishe kidogo, sema kuelekea nchi ya ahadi siyo kurudisha kwani ilikua yenu?, ilikua ya wazee wazungu wakaiba wakampatia ndugu yao ccm na saa inakalibia uhuru kamili wa Watz wote.
 
Tatizo linaanza Kwa wale viongozi wa kubwa wa usalama ambao tuna matumaini nao, na wenyewe ni mafisadi mapapa Sasa sijui tutakuwa wageni wa nani.
 
Back
Top Bottom