Free website

Joined
Jan 14, 2017
Posts
88
Reaction score
26
Je ungependa uwe na website yako mwenyewe mfano ya Biashara, Blog, Shule ama Binafsi
Hello wapendwa humu ndani ningependa nichangie jukwaa kwa kutoa offer
nitawatengenezea website bure kwa watu 20 watakaohawi , i won't charge you
anything, expect nitakuonyesha nn cha kulipia na hicho sio mm nitakaye ku charge

whatsapp number 0757989865

karibuni

 
Karibuni .. wapi sasa! weka maelezo wazi kuhusu ni nini cha kulipia
 
Ndo tatizo la wafanya biashara wa Tanzania. Badala uweke wazi maelezo tujue unaambiwa uende inbox
 
Ukumbuke kulipia tangazo...halafu sema wapi watu wakufuate coz unataka tuwahi ambako hatukujui.??

"Writing is an Art" tafuta waandishi wazuri wakuandikie matangazo
 
Ukumbuke kulipia tangazo...halafu sema wapi watu wakufuate coz unataka tuwahi ambako hatukujui.??

"Writing is an Art" tafuta waandishi wazuri wakuandikie matangazo
Nimeacha namba ya simu hapo bro
 
Ndo tatizo la wafanya biashara wa Tanzania. Badala uweke wazi maelezo tujue unaambiwa uende inbox
Sawa ngoja ufahamishwe ni domain na hosting nilikuwa naongelea ,nitakuonyesha kwa kununua cheap price

Domain ni jina la website mfano milidayo.com hilo jina milidayo ndo domain unayoilipia
Hosting maala ambapo website yako inahifadhiwa iweze ku run 24 hours per week
nimetumia maelezo mafupi i hope umeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…