Free talk: Mwanamke shtuka!



Kwahiyo kijana aliemaliza chuo akipata sh ngapi ndo avute demu/mke gheto. Malcom Lumumba
 
Kwahiyo kijana aliemaliza chuo akipata sh ngapi ndo avute demu/mke gheto. Malcom Lumumba
Kuoa siyo swala la kuwa na pesa au kokosa pesa,
Kukomaa akili, kutambua majukumu, kuweza kujimudu, kuwa na utayari kuwajibika, kuwa tayari kubadilisha tabia zako.
Vijana wengi mkishapata M1 au M2 basi mndhani mnaweza kuingia kwenye ndoa vuuup....Teh teh teh, sisi tunawaangalia halafu tunasema Hiiiiiiiiiiiiiiiii, ya Kihutu kabisa.
 
Smart brain beautiful girl
 
Kwahiyo kijana aliemaliza chuo akipata sh ngapi ndo avute demu/mke gheto. Malcom Lumumba
Çqs m
 
Sijui...... Binafsi sijawahi kuishi kwa kutegemea mwanaume, nimewekeza kadri ya uwezo wangu. Lkn naona kama kutokuwasumbua kwangu wanatake for granted...... Sijawahi kuachwa, Mara mbili nachoka, naondoka mwenyewe, hata hapa nilipo, najisikia kutoka! Sinyanyaswi, but naona kama anakaa na Mimi kwa kuwa simsumbui kumuomba hela...... Nimemkatalia hata kwenda nyumbani, nahisi akinioa ataniachia majukumu yote ya nyumbani ........ Kama imewahi kutokea nikapata any favour as a lady, ni Mara chache sana, hali hii imenifanya nikawa mbinafsi pia. Simuulizi mambo yake, akijisikia atasema. Mimi pia vya kwangu siongei naye, labda aone mwenyewe...... Kuna mahusiano hapo? Kwa ufupi ameniharibu kabisa akili yangu!
 
Why do you need a favor lady?!
 
Duuh aiseee
 
Sio kawaida, kwenye mahusiano yanayolenga ndoa ni bora umpime mtu kwa kutumia scenarios za kuigiza.Mwombe kiasi cha fedha mara kadhaa uone anakuaje, jifanye umefulia, kama huwa hukasiriki unatafuta namna unakasirika.Lengo ni kumwona mwenzio anabehave vipi...
 
Kuhusu kuomba fedha, kwanza namuona kila Mara yuko busy na familia yake, muda wote utasikia wanampigia simu za wagonjwa, misiba, ada za shule etc. Hill si tatizo kwangu. Zikitulia simu za ndugu ataanza kudeal na ujenzi, simu za mafundi zinapishana, bado service za magari, utasikia kununua viwanja au mashamba...... Hela yake yote ni kama ni ya maendeleo yake, sasa ukisikia analalamika kaelemewa, utapata nguvu ya kumuomba? Nikikasirika anavurugwa, hapo napo kuna mawili, ataniomba niongee naye private, akiona sijisikii,atatafuta namna tuonane akiwa na rafiki zake, huwa siwezi kuonesha hasira mbele za watu. Tukitoka hapo,ataomba kuongea na Mimi!
Miaka yote nimekuwa kwenye distant relationship, ila muda huu nikaamua niwe na mahusiano ya karibu labda ntaona tofauti, kinacho niboa hata akija kwangu akaona hela anachukua! Mwanzoni nilikuwa nachukulia poa, ila muda huu akijichanganya achukue huwa anapata habari yake,nilisha acha hata kupika akija kunitembelea. Nilikuwa nafanya kwa kupenda lakini nikaona inakuwa kama sheria huku hela yake siijui. Nikijisikia kwenda kwake sijusumbui tena na kazi za nyumbani kama mwanzo. Yaani natafuta stability tu ya moyo wangu then niondoke. Msiseme ni Mario, hapana. Ni MTU mwenye kazi yake, na sikujipeleka, ilimchukua muda kunitafuta na kunipata, na mwanzo alikuwa akifanya kila kitu mpaka nalia!
Alipo kuja kugundua kuwa Nina vimifereji vya hela, nikawa nimejiroga. Na sikuwa na namna maana kama ni safari atajua kuwa nimesafiri nk!
 
Hivi wanawake wenye akili kama wewe humu jf wapo...??kama wapo kuna wanaume wana bahati sana aiseee
 

Aisee
 
Why do you need a favor lady?!
Kuna vitu unafanyiwa na mpenzi wako kama favour kwa kuwa wewe ni mwanaume au mwanamke wake....... Naweza kuwa Nina uwezo wa kujilipia saloon, lkn ukinilipia kama mpenzi wako, hiyo ni favour, najisikia kuwa kuna MTU ananijali...... I don't see a lady in me, thou I did everything to make him feel like my lovely man!
 
Its okay lakini bossladies kama wewe, mwanaume kama hela ya ziada hatoweza fanya hivyo since anajua you can pay your bills
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…