Free softwares | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Free softwares

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Frank nzoka, Aug 21, 2012.

 1. F

  Frank nzoka Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hello! wana habari wan jamii forum wenzangu siku kuu imeendaje? hope it was good. Kama nilivyosema hapo juu software za bure zinanipa taabu keli sasa any one ajaribu kunisaidia plz ni hivi nili instal IDM ya bure as trial ikawa inapiga mzigo bila tatizo so after 30days kitu kikataka nijiregist so nami nataka vya bure ikabidi nianze kuicrack na fake serial number kama nilivyogoogle site moja ikawa imenielekeza vile lakini kote nimehangaika kitu hakitaki na nikisema niunstal theni niweke upya mzigo bado hautaki kabisa. so nimezonguka nikaona nirudi uwanja wa nyumbani Plz hebu nipeni maujanja hapo nifanyeje?
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
 3. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 180
 4. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,156
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
Loading...