sayuni, sayuni ninaimani kwamba nitafika. Sayuni nyumbani kwa baba. Wakati wa sunday skuli tuliimba sana! Sikufahamu sayuni ndo Zion! Wa Israel wanaitwa zionist na waarabu! Na bob aliimba 'one last morning when my work is over, i will fly away home to Zion! Baba katuandalia makao ya kudumu huko Sayuni! So mdau until Jesus atakapokuja tena kuwahukumu wazima na wafu, nae ufalme wake hautakuwa na mwisho!