Kwa hiyo, hizo code umezidevelop wewe hapo ambazo ni tofauti na za mwenye copyright ya hii antivirus au nawe umeipata huko kwenye chimbo. Maana hizo za trial huwa hazijrudii ukiisha tumia.
Sasa wewe hapo, unasema mtu aataitumia baada ya 90days anarudia kwa codes izo hizo !?