Free Internet.

Free Internet.

Hizi unlimited za hizi kampuni sio unlimited kweli, ni uongo mtupu.
Nililipia mitandao mingo ilivyofika 50GB speed ikashuka hadi 100KBPs, kampuni nyingi wanafanya huo upuuzi, unasikia unlimited hata ukiuliza kabla hujalipa watakwambia ni ulimited kweli haina cap yoyote, tena wanasisitiza kua hata udownload vipi hawatalimit speed, kumbe wanafanya assumption kua 50GB hutofika, wapuuzi kabisa, hawajui watu tunashusha 1TB kila mwezi. Tunaishia kuchakachua tu kupata free internet.
Sh ngapi ulitumia mkuu?
 
Sh ngapi ulitumia mkuu?
Inategemea na company, ya chini kabisa ni kama 70,000 kwa mwezi Smart au Smile kwa unlimited package zao cheapest ambazo speed inaenda hadi max 2MBPs, providers wengine wapo juu zaidi. Hadi TTCL bila aibu wakati cable inatakiwa iwe faster na cheaper kuliko wireless.
 
MODS futa uzi huu...hauna ujumbe wala taarifa wala mafunzo wala amaulizo wala burudani! Ni unajaza server yetu tu
unajua server zipo wapi au zikoje, tuondolee nzi hapa we mzee
 
Inategemea na company, ya chini kabisa ni kama 70,000 kwa mwezi Smart au Smile kwa unlimited package zao cheapest ambazo speed inaenda hadi max 2MBPs, providers wengine wapo juu zaidi. Hadi TTCL bila aibu wakati cable inatakiwa iwe faster na cheaper kuliko wireless.
shukrani mkuu.
 
Back
Top Bottom