Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
So the moderm is free or?ni bei gani
kwa android process zikoje
Sever zingine naambiwa siwezi connect na zingine zinaleta hii kitukuna server hazifanyi kazi hivo usizichagu
View attachment 113501
Sever zingine naambiwa siwezi connect na zingine zinaleta hii kitu
View attachment 113508
using Win 8 64Bit
View attachment 113500View attachment 113500
brother we ni numar haya nakunyanyulia mikono njunwa wamavoko
Kwangu hizo ulizosema hazifanyi ndizo zinakeep on trying lakini hazi connect, ulizosema zinaconnect hizo kwangu hazichukua hata sekunde 20 naambiwa failed
net yako nzuri as far as vya bure is concerned ila duh! ni pasua kichwa. ina complications nyingi.
complication ipi hapo mkuu ndo maana nikaiweka jukwaa la technolojia nikujua fika kuwa kila mtu ni cracker
imekubari lakini nimetumia software tofauti na ulizoweka hapo ni openvpn-client.msi username na password ni ile uliyonipa tnx mkuuView attachment 113514View attachment 113517