Mkuu heshima mbele.
Sasa nilivyoelewa mimi, hio ni software ambayo inakuwezesha kuangalia files mbalimbali za kuhusu televisheni mbalimbali. Kwahio ni kama inakusaidia kushare hizo files au PierToPier na watu wengine ambao huweka humo.
Kwahio inawezekana files hizo sio nyingi kama ambavyo ungependa uone na ndio maana unashindwa kufaidi telly hio.
Ni hayo tu.