Free internet chap chap

cyruss

Senior Member
Jan 13, 2012
196
40
Waadau nahitaji line ya tigo-free internet chapchap kwa mwenye nayo or anayemjua mwenye nayo
 
nilidhani unafanya april fool. kumbe upo serious kaka.
 
if its not about april fool,, then anaweza kuwa mfanya kazi wa tigo huyoo!! So anafanya checking hapoo kama still line zao zina operate for freee!!!
 
Huyo jamaa hatumjui kwenye hili jukwaa,ukute mfanyakazi wa Tigo!
---Believdat---
 
Acheni -ve assumption wakuu, mwenye line hiyo ani pm namba yake mi nimtampigia tufanye biashara
 
huyo alikuwa ana uza line Za internet ametuzingua line yami tumetima wiki moja tuuuuuuuuuuuuuu imeshakata yani ametuonea sanaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom