Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,491
- 20,064
Na ndio maana nmekupa direction inayoendana naww....sasa umeshasikia wapi dating site ni sehem ya kubadulishana mawazo?
Hivi mnajuaaaga kuwa lengo haswa la badoo likikuwaa kwa ajili ya wanaume mashoga??ila wabongo ndo mmejazana huko kutongozana kutwa kuchaaa jaman katiak vitu siviwezi ni
kutembeaa na mwanaume wa mtandaoni yaaan kwakweli isaa BIG NO for me!!!!
Hamna kitu cha bure hyo ni biashara kwa watu special wenye nia..ingekuwa free biashara isingekuwepoHivi hizo hela ambazo huwa mnataka ili muunganishe watu huwa ni za nini hasa ?
Maana group unaunda bure application ya WhatsApp bure sasa wewe unataka pesa duh wabongo bhana .
mbona me nipo huko siwapati..yaani unatext madem 20 na unaeza usipate reply hata mojaBadoo huo mtandao unanuka ngono tu
mkuu hiyo ilinishinda aise..maana vi procedure kibaoOkcupid chief,nshagonga rangi rangi wawili..kama upo vizuri hata safari unapata..hah
Unajifanya huzijui wakt ndo maeneo yakohehehe ebu zitaje
pia,nimeshindwa kujiregister,hairespond,kuna mwingine unaitwa HITWE,huku nshawatafuna kiulainimkuu hiyo ilinishinda aise..maana vi procedure kibao
Ndo wewe juz ulilalama kupigwa chiniOkcupid chief,nshagonga rangi rangi wawili..kama upo vizuri hata safari unapata..hah
huo ukoje mkuu??pia,nimeshindwa kujiregister,hairespond,kuna mwingine unaitwa HITWE,huku nshawatafuna kiulaini
huko nimewala kimtindo.Nenda Facebook mkuu hakika hutajutia maamuzi yako
Hao hao unaotembea nao mtaani ndio hao hao waliojaa mtandaoni.Hivi mnajuaaaga kuwa lengo haswa la badoo likikuwaa kwa ajili ya wanaume mashoga??ila wabongo ndo mmejazana huko kutongozana kutwa kuchaaa jaman katiak vitu siviwezi ni
kutembeaa na mwanaume wa mtandaoni yaaan kwakweli isaa BIG NO for me!!!!
Yy c ndo anachotakaBadoo huo mtandao unanuka ngono tu
Labda yupo kibitUnakaa wapi ambapo hamna watu wa kubadilishana mawazo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena unavyopenda mteremko kwny ngono umetaka free dating sites
we google HITWE,wamo wengi tu,na wanatafunika kiulainihuo ukoje mkuu??
vp haina usumbufu?