Free dating websites

Badoo tu ndo suluhisho la tatizo lako...ukitaka WhatsApp changia pesa kidogo tuukuunge kwenye magroup
 
kubadilishana mawazo sisi bhana,?? mbona Hata hapa tunabadilishana mawazo Mkuu
 
Badoo tu ndo suluhisho la tatizo lako...ukitaka WhatsApp changia pesa kidogo tuukuunge kwenye magroup

Hivi hizo hela ambazo huwa mnataka ili muunganishe watu huwa ni za nini hasa ?
Maana group unaunda bure application ya WhatsApp bure sasa wewe unataka pesa duh wabongo bhana .
 
Okcupid chief,nshagonga rangi rangi wawili..kama upo vizuri hata safari unapata..hah
 
Hivi mnajuaaaga kuwa lengo haswa la badoo likikuwaa kwa ajili ya wanaume mashoga??ila wabongo ndo mmejazana huko kutongozana kutwa kuchaaa jaman katiak vitu siviwezi ni
kutembeaa na mwanaume wa mtandaoni yaaan kwakweli isaa BIG NO for me!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…