Niliinunua Marekani. Iko un-locked. Hapa Bongo naweza kuweka sim card yoyote na hizo networks zinaonyesha kwenye display.Hiyo BB yako ilikuwa maalum kwa matumizi ya marekani tu? yaani nazungumzia CDMA technology? je network ya Tanzania unayoitumia inadisplay hapo kwenye screen? majibu ya maswali haya kutoka kwako ndio nitakupa solution ili uwenjoy bb messenger.
mkuu kama nimemsoma vzuri inaonyesha inakamata net vzuri tatizo ni bb messenger inamana ipo regsterd kwa id ingine na yy awezi kuweka yake nimewakukutana na kesi hizi mkuu kama nimemwelewa vzuri
kwenu nyie mnaobisha hili. Je mmetuma hizo namba akashindwa kuwasaidia? Au hamjui ila mnatumia ile mbinu ya kubisha ili mueleweshwe?
Drphone.
Mbona unakuwa muongo kiasi hiki? Unadhani solution ya tatizo hili ni kubadilisha imie # ? Nimejaribu kufanya hivyo mara nyingi tena kwa kutumia software mbali mbali ikagoma. Pia nimejaribu kui wipe ili kuweza kutumia os yoyote still tatizo liko pale pale....
Nilikuwa na pima uelewa wako wa mambo haya, hata hivyo nimegundua upo upo sihaba.
hawa wanajua ila ukichunguza sana wanalinda maslai binafsi so wanajaribu kushawishi watu ili uonekane mwongo wakati wanajua linawezekana unaona mganyizi ameomba msaada na nimetoa ajaribu tuone
Mkuu. Mimi siko hapa kutaka kuelewesha vitu kama hivi ingali navijua fika. Hata kama ningekuwa sijui nisingekuja hapa ingali google ipo 24 hrs.
Mbona umeng'ang'ania sana IMEI # ? Nimekuambia simu yangu imekuambia nataka kuunlock sim card?poa tuma imei no yake mana ubishi mwingine aufai kama unaona masihara mbona unayo na aifanyikazi na ujui linaloweza kukupata kwa ww kuiwasha nakuiweka hewani kama k2 ujui kuwa mpole utajua mengi ataunachokijua jifanye ujui ili upate uelewa zaidi ni hekma mkuu
Mkuu.. Hakuna maslahi yoyote ninayo yapata au kukosa kwa kusema ukweli ninao kuambia hapa... Watu tuna ajira zetu za maana hivyo hakuna sababu ya kufanya uwizi kama unaotaka kufanya au unao ufanya.
Dr. Ungejua nafanya kazi wapi usinge sema eti nimekuomba msaada hah hah hah!
nimekwela kumbe una lolote upo kimalumbano nakama unajua mbona ujatatua na ukishajua uelewa wangu utakusaidia nn ucpende kumwita m2 mwongo asa ucyemjua nimetatua kama hayo namakuba zaidi so ushauri wa mwisho hyo niyawizi lumbana bac
hope we can end this malumbano now see citaji kukujua ww wala kazi yoko honest avinisaidii chochote ckujua nalumbana na mpumbavu ata ivyo nisingejua mana mpumbavu akikaa kmya uonekana ana hekima so see u mkuu
Mie nasubiria majibu ya kitaalamu kuhusu jinsi ya kupata hiyo BB service
i have unlocked my latest blackberry phone using the paid unlock code from the site simpleunlocking.com i got the unlock code at reasonable cost...