Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Nimekupara uzuri..... haya tusaidiane kwa hili... Nina bb yangu iko unlocked na haina IT POLICY yoyote, kila nikiweka line ya mtandao wowote inakubali, shida ni kwamba siwezi kupokea simu wala kupiga. Nikimaanisha imeblockiwa kwenye server. Je unaweza kuitengeneza mtaalamu wa simu Drphone?kumbuka hii sio mara ya kwanza alianza calvin power code huawei modem na tulisaidia watu humu na akukuwa na malumbano hope ktk hili pia kutakuwa na ushirikiano na kukuhakikishia hili utaona watu wakituma hapa watajibiwa na wataalamu wengine pamoja na ww sina free software ya kukalukulate code natumia box ila as soon nikipata nitatoa ila kwa sasa tunakwenda kwa mwendo huu hapa
Tofauti yako na Calvin Power ni kubwa calvin power alianza kwa kutoa software usika na alipoona kuna watu hawawezi kuitumia ndio akawaitisha IMEI # za modem zao kitu ambacho wewe haujafanya hivyo....
Nimekupara uzuri..... haya tusaidiane kwa hili... Nina bb yangu iko unlocked na haina IT POLICY yoyote, kila nikiweka line ya mtandao wowote inakubali, shida ni kwamba siwezi kupokea simu wala kupiga. Nikimaanisha imeblockiwa kwenye server. Je unaweza kuitengeneza mtaalamu wa simu Drphone?

Kiswahili mureeeeeeeeeefu, unajifanya unajuwa kumbe hamna unalolijuwa, sanasana hiyo simu nina uhakika ni ya wizi na ole wako uweke IMEI namba yake hapa, mimi ndio naifunga daima hiyo simu. hatuko hapa kupromote wezi wa simu.
Mkuu nina Blackberry Storm II ya Verizon. Iko unlocked. Kwa sasa ninaitumia kama simu ya kawaida lakini kuunganisha na BB services imeshindikana. Nimejaribu mitandao yote bila mafanikio.Naomba msaada wa ku activate BB service.
Hiyo BB yako ilikuwa maalum kwa matumizi ya marekani tu? yaani nazungumzia CDMA technology? je network ya Tanzania unayoitumia inadisplay hapo kwenye screen? majibu ya maswali haya kutoka kwako ndio nitakupa solution ili uwenjoy bb messenger.
@matola
mkuu heshima mbele hope umeisoma topic yangu pls naomba ushauri wako juu ya hili je niendelee au nipotezee pls ur comment
Mkuu endelea kutoa elimu, hauwezi kufunga thread kwa ajili ya msumbufu mmoja ambaye hataki wenzake wapate maarifa. ushauri wangu kwa watu wa kariba hii ambao wao hawajengi bali kazi yao ni kubomowa tu, ningependekeza wawe wabrowse kwenye jukwaa la udaku na celebrate nadhani huko kutawafaa zaidi. mkuu endelea kumwaga material.
kwenu nyie mnaobisha hili. Je mmetuma hizo namba akashindwa kuwasaidia? Au hamjui ila mnatumia ile mbinu ya kubisha ili mueleweshwe?
Kiswahili mureeeeeeeeeefu, unajifanya unajuwa kumbe hamna unalolijuwa, sanasana hiyo simu nina uhakika ni ya wizi na ole wako uweke IMEI namba yake hapa, mimi ndio naifunga daima hiyo simu. hatuko hapa kupromote wezi wa simu.
mkuu with all respect shida yako inatatulika kwa kubadilisha imei no unaingza ingine kwa software inaitwa Radiolab Tool kisha unaandika imei kwa RLTna hii RTL inapokea imei kwa format kuu 2
1:XXXXXXXXXXXXXXX
2:XXXXXX/XX/XXXXXX/X
kisha reload software
mpaka hapo najua utamaliza tatizo lako mkuu wangu
heshima mbele mkuu ni kweli kabisa niya wizi wala akuna pingamizi ila nimempa solution japo najisikia vbaya alianza vbaya lakini daima napenda kuushinda ubaya kwa wema kama kweli ni mtaalamu akifanya nilivyomwelezza bac tatizo limekwisha sorry kama nimekosea kumpa suluhisho
Ndugu wana JF wote kwa pamoja tupo kuelimishana na kugawana ujuzi nk na kwa mwaka huu mpya naanza na hili la free code unachotakiwa kufanya nitumie imei no yako na mep kwa mfano:
IMEI : 359484025475099
MEP : MEP-06813-002
mep ni bb security inakuwa nyuma kwenye cover utaiona
namna ya kuingiza code utakazo zipata ni;
Model : All BlackBerry
1 - Using the menu go to Settings Menu -> SIM card pressselect.
2 - While holding the SHIFT key, type mepd
3 - You should now see the five locking categories listed.
4 - While holding the SHIFT KEY, type mep2.
5 - Release the shift key.
6 - You are now prompted to enter the Network MEP code (it will also state how many attempts left)
7 - Enter the code
8 - Enter Return/Enter
9 - The device should then be unlocked
sasa basi kwa watako penda basi tushauriane je tutumie njia ya pm au hadharani for me ningependekeza kwa pm ila nakaribisha maoni hii ni popote ulipo as long upo jamii forums zitakufikia.
UKIWA NASWALI USISITE KUULIZA ME NAWATAALAMU WENGINE TUTAKUJIBU.
@matola
mkuu heshima mbele hope umeisoma topic yangu pls naomba ushauri wako juu ya hili je niendelee au nipotezee pls ur comment
Kaoge ulale...
Eti utaifungia daima, daima ni jina la mtu mkuu.