acha ujinga huji kitu ho ni uongo kabisa, mep zimejificha mpaka utumie engineer mode screen master, ehe bwana wewe ni Dr phone yupi
Mkuu nina Blackberry Storm II ya Verizon. Iko unlocked. Kwa sasa ninaitumia kama simu ya kawaida lakini kuunganisha na BB services imeshindikana. Nimejaribu mitandao yote bila mafanikio.Naomba msaada wa ku activate BB service.
acha ujinga huji kitu ho ni uongo kabisa, mep zimejificha mpaka utumie engineer mode screen master, ehe bwana wewe ni Dr phone yupi
umejaribu kuiflash mkuu naje ina IT policy
Bora umeligundua hilo... Dr4ne unataka kuwa kama yule dogo wa Chizicomputer.
Ayaaa! Drphone ni wewe kweli? Au umekunya angle?
Hata ukiiflash haiwezi kukubali maana pin yake ipo active kwenye mtandao mwingine tofauti na anaotumia jamaa.
Sasa watatuma vipi hizo mep code. Ingali hazipatikani kirahisi kama ulivyoeleza hapo juu?
Haya mtaalamu bb yangu iko unlock na haina IT POLICY yoyote, kila nikiweka line ya mtandao wowote inakubali, shida ni kwamba siwezi kupokea simu wala kupiga. Nikimaanisha imeblockiwa kwenye server. Je unaweza kuitengeneza mtaalamu wa simu Drphone?
onyesha vitu watu tunyonye mkuu sio kukatisha tamaa wasomaji weka vitu jinsi wewe unavyo fahamu kuhusu MEP
haha dr hapo patamu nitaku pm mkuu. ila ushauri wangu kwa wote wanao ponda nawaomba mshindane kwa kushusha vitu sio maneno mbofu mbofu hapa jamvini.
Kama unataka kuwasaidia watu kweli basi weka hiyo software hapa ya kucaculate hizo MEP.... na siyo unafanya kazi ya kuchukua IMEI # na MEP code za simu za watu na usiwatatulie matatizo yao.mkuu akunachochote kuhusu mep wanachojua ambachoakijulikani na kwenye cover inakuwa zimewekwa hizo mep code so ukikalukulati imei na hizo mep unapata unlock code ukiweka cm inafunguka sitaki kuzama sana ili na wakuu wenzangu mgt na mganyizi waweze nao kuchangua
Kama unataka kuwasaidia watu kweli basi weka hiyo software hapa ya kucaculate hizo MEP.... na siyo unafanya kazi ya kuchukua IMEI # na MEP code za simu za watu na usiwatatulie matatizo yao.
Tofauti yako na Calvin Power ni kubwa calvin power alianza kwa kutoa software usika na alipoona kuna watu hawawezi kuitumia ndio akawaitisha IMEI # za modem zao kitu ambacho wewe haujafanya hivyo....kumbuka hii sio mara ya kwanza alianza calvin power code huawei modem na tulisaidia watu humu na akukuwa na malumbano hope ktk hili pia kutakuwa na ushirikiano na kukuhakikishia hili utaona watu wakituma hapa watajibiwa na wataalamu wengine pamoja na ww sina free software ya kukalukulate code natumia box ila as soon nikipata nitatoa ila kwa sasa tunakwenda kwa mwendo huu hapa