Kweli kabisa na niliwahi sema huku hata chalii ya marangu (kicheko mtata)pale e fm alikuwa anaipaisha ile stations na yeye mwenyewe alianza kujenga jina ruge kaenda kumrubuni kaingia mkenge kwa sasa nae kwisha habari yake hasikiki tena
Uko sawa kabisa wanasema hawasikilizi clouds redio ya kipuuzi lakini thread zinazohusu vituo vya redio humu almost zote zinahusu clouds...
Wabongo noma mtu anaweza hata akakana wazazi wake...