Fredrick Sumaye: Siwezi kuvaa viatu vya Mhe. Freeman Mbowe kwenye uenyekiti

Wewe Mwanahabari Huru huna tofauti na vibaraka wa LUMUMBA haiwezekani we kila siku CDM tu
 
Mh. Fredrick Sumaye "wako wanaosema mimi nataka niwe mwenyekiti wa chama. Nina miaka mitatu kwenye chama hiki siwezi kuwa mwenyekiti na siwezi kuvaa viatu vya Mh. Freeman Mbowe
anajijua kua kazi yake ikiisha atarudi tu ccm,muda si mrefu
 
Hata kama hawezi kuvaa vesti yake nini viatu haituhusu, cha muhimu ruzuku yetu arudishe!
mkuu ruzuku inakuhusu nini wakati sio chama chako? Mbona malaika jiwe haulizwi kuhusu ruzuku? Sijui sumaye angesema anaweza kuvaa hata hio vest vipi vinubi, mngevipigaje?
 
Mh. Fredrick Sumaye "wako wanaosema mimi nataka niwe mwenyekiti wa chama. Nina miaka mitatu kwenye chama hiki siwezi kuwa mwenyekiti na siwezi kuvaa viatu vya Mh. Freeman Mbowe
Huyo ni Mr. Zero ni kweli hawezi kuvaa viatu vya DJ Mbowe!!
 
Back
Top Bottom