No huyo ni AK47.ccm ndembe ndembe.
Matusi na lugha chafu ni kipimo cha ukosefu wa hoja! ...Alitegemea katiba mpya angeitwa pia ni kutokua na cheo ndan ya chama jitu lafi kaa buzi shame mnaomshangilia huyu boya
no mkuu huyo ni atomic bomb jana lumumba walikua wamebanana chini ya meza wamechutama
Sumaye atabaki zero siku zote kwakuwa ni zero tangu ,wanzo.Hawamwelewi. Wanamwita zero. Jamaa wana vichwa vigumu. Safari hii wataelewa kwa bakora,tunza kikatio chako.
kwa jinsi ulivyowachana magamba jana na kuwapasulia ukweli nakupa SHIKAMOO SUMAYE, mkuu unatisha yaani jana ukubakiza kitu umewavua nguo magamba. shikamoo sumaye