Fredrick Lowassa avunja ukimya na kunena mazito sana

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,188
Reaction score
9,165
.

Kupitia ukurasa wa Instagram Fredrick Lowassa ameandika

“Baba – Nakumbuka hii siku, Agosti 10, 2015. Watanzania wanajua. Dunia inajua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania. Umetufundisha – TUMEKOMAA! Tumelinda heshima yako kwa wanaMonduli. Na tunaendelea kuheshimu Mamlaka na kuishi kwenye mioyo ya wenzetu. Ameen.”

Screenshot_2025_0824_190742.jpg
 
View attachment 3451558
Wahuni siyo watu
 
Mtajuana wenyewe, CCM ni kama mtu ambaye ameshazoea kula nyama ya binadamu kamwe hawezi kuacha, akimaliza kula majirani atarudi nyumbani kutafuna waliopo, na ndicho kinachoendelea kwa sasa ndani ya CCM. Serikali ya CCM baada ya kumaliza kuishughulikia CHADEMA sasa wwmerudi kushughulikia wana CCM ndani ya chama
 
.

Kupitia ukurasa wa Instagram Fredrick Lowassa ameandika

“Baba – Nakumbuka hii siku, Agosti 10, 2015. Watanzania wanajua. Dunia inajua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania. Umetufundisha – TUMEKOMAA! Tumelinda heshima yako kwa wanaMonduli. Na tunaendelea kuheshimu Mamlaka na kuishi kwenye mioyo ya wenzetu. Ameen.”

View attachment 3451558
CCM inaendeshwa kama sports club. Coach akiamua usicheze huchezi. Punto.
 
Fredy hana hata nukta ya shida, huyu level ya Ridhiwani, hana njaa, wana ma trillioni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom