Niulize swali! Kipi kilitangulia kwanza ni CCM yenye alama ya jembe na nyundo (nina uhakika unafahamu maudhui ya hizo alama)
au hili kundi la mafisadi majizi na maporaji (kama ulivyoyaita). The way I understand akina Mwakyembe, Six, Ole, Mama Kilango they are standing for the value of the party! The founding fathers of the party and party's policy stood and as of today stands for saving nation's interest. Although they dress like CCM, walk nad talk likewise, this prooves the old saying "Kwenye msafara wa mamba kenge huwa hawakosi" They are the ones who should leave, because the original CCM wasn't for msafara of Kenges it was for Mambas.
They might not be willing to leave, but with this dwindling public approval and this growing public anger and frustration well, CCM has no choice, they have to ask them out!! It wont be long before CCM will be history like KANU of baba Moi
REV 13:9 "Aliye na masikio, na asikie
Mtu B usianze kuchekesha watu wewe unafikiri kura zilikuwa za nani za Juma Shamte wa CUF
Kwanza nikupe pole kwa kuendelea kuamini kuwa CCM ndo ile ile (japo sikumbuki ilikuwa wapi nzuri) ya akina Nyerere na Karume (the worst one than this),ndugu yangu vampires wote asili yao ni watu,when it comes to sipping blood they turns to animals and monsters,ndivyo ilivyo CCM, zipo wapi hizo values,ethics n.k unazoongea wakati chama chenyewe kimeingia madarakani kwa fedha chafu? once human now vampires, mm tokea nizaliwe nchi hii masikini, wananchi wanaishi maisha mabovu ya ulimwengu wa tatu,huku viongozi na watawala wakiishi maisha ya ulimwengu wa kwanza,tokea CCM ilipoasisiwa mpaka leo...dhana ya kuondoa ujinga, maradhi na umasikini...tokea enzi hizo imekuwa kama hadithi ya "kuhamishwa makao makuu ya serikali kutoka Dar kwenda Dodoma",tokea siku hizo za wanaoitwa waasisi mpaka leo hatukuwa kuwa na wakati wa ahueni ya kimaisha (sijuwi ww mwenzangu) mpaka leo...utanambiaje habari za ethics,values,misingi ya waasisi...nk?
CCM is the same party since the day it was established to date.
Alama ya nyundo ndo ile ile ya kuwagonga vichwa watanzania masikini, na jembe ndo lile lile la kuwafukia wakikata roho.
wake up!
...nani alikuambia kuwatumikia watu lazima uwe mbunge tu??? zipo kazi nyingine nzuri atafanya kwa dhamira safi bila unafiki!!
Ni sawa na kumsomesha mwanao hadi university na anapata kazi nzuri inayoweza kuwasaidia wadogo zake nyumbani,
Siku akitubu na kutangaza anaacha ujambazi na unyang'anyi na kurudi nyumbani je ? Kumbe ufisadi nao ni kazi muhimu - duh ! Huyo mzazi au ndugu ambaye hatafurahi akipata taarifa ya mwanaye kuachana na ujambazi labda anapatikana CCM tu kwa sababu it is their way of life !halafu ghafla anaamua kurudi nyumbani kuchunga mbuzi na nduguze kwa madai kwamba hata hiyo pia ni kazi muhimu!
Hiyo hatua ya kuwatumikia watu kwa malalamiko ya mtaani alishaipita,
alishapewa jukumu kubwa zaidi na wananchi wake, sasa amelitelekeza. Lakini bado ni mtu wao,
Chaguo lake ni kuungana na raia wema wa nchi hii kutetea na kulinda rasilimali za taifa. Kama hili la Mpendazoe limekutia hofu kiasi hiki basi subiri, machungu zaidi yanakuja na sina hakika kama utaweza kuyameza. Wanga wote huingiwa na hofu mwanga unapoanza kupenyeza, anza kutafuta pa kujisetiri ndugu yangu usijeumbuka !labda watamzawadia japo uenyekiti wa CCJ wa wilaya akaendelee kulalamika tu kama anavyotaka mwenyewe. Chaguo lake of course.
Hapa nakuelewa. Kama amechagua kuwatumikia wananchi kwa kurudi miongoni mwao kuendelea kunung'unika, sawa tu. Lakini hii naona utakuwa utumishi wa ngazi ya chini zaidi au wenye tija ndogo zaidi. Ni sawa na kumsomesha mwanao hadi university na anapata kazi nzuri inayoweza kuwasaidia wadogo zake nyumbani, halafu ghafla anaamua kurudi nyumbani kuchunga mbuzi na nduguze kwa madai kwamba hata hiyo pia ni kazi muhimu!
Hiyo hatua ya kuwatumikia watu kwa malalamiko ya mtaani alishaipita, alishapewa jukumu kubwa zaidi na wananchi wake, sasa amelitelekeza. Lakini bado ni mtu wao, labda watamzawadia japo uenyekiti wa CCJ wa wilaya akaendelee kulalamika tu kama anavyotaka mwenyewe. Chaguo lake of course.
JAMANI NAPENDA KUJUA KWANZA BACKGROUND YA HUYU MPENDAZOE FRED, i MEAN ELIMU YAKE, WAPI ALIFANYA KAZI KATIKA TAASISI ZIPI KAFANYA KAZI AND THEN PRIVATE LIFE YAKE KWA WALE WANAOJUA TUPENI. TUSIBAKI KUSHABIKIA AU KUMLAUMU TU TUNA KILA SABABU YA KUFANYA RESEACH YA HUYU MTU NA BAADAYE TUJUE KUWA ANATUPELEKA WAPI. ISIJE IKAWA YA AKINA MREMA.!!!!