Breaking News za Radio One zinahanikiza kwa sasa kuwa Mbunge huyu wa chama cha mapinduzi katika jimbo la Kishapu huko Kigoma ametimkia CCJ... job true true...
Kuna taarifa kuwa Mbunge huyu machachari amekuwa kigogo wa kwanza kabisa toka CCM kwenda CCJ. Ya kweli haya?
Maslahi ya Ubunge anayo tu. UTAIFA KWANZA. Tunawasubiri akina Sitta, Ole Sendeka, Selelii..........Kama ni kweli, basi wapo wengi vigogo wa CCM wenye hisa huko CCJ. Na huyu ameanza tu. Ila siamini kama kweli ameamua kuukacha ubunge, na kukimbilia CCJ. Sidhani kama ameamua kwa dhati akose haya marupurupu ya miezi hii michache iliyobaki. Kwanini asingehama baada ya bunge kuvunjwa?
Marupurupu yake atayapata tuu maana nadhani katangaza nia yake ya kujiunga CCJ hivyo haki yake ya ubunge bado anayo.Kama ni kweli, basi wapo wengi vigogo wa CCM wenye hisa huko CCJ. Na huyu ameanza tu. Ila siamini kama kweli ameamua kuukacha ubunge, na kukimbilia CCJ. Sidhani kama ameamua kwa dhati akose haya marupurupu ya miezi hii michache iliyobaki. Kwanini asingehama baada ya bunge kuvunjwa?
Maslahi ya Ubunge anayo tu. UTAIFA KWANZA. Tunawasubiri akina Sitta, Ole Sendeka, Selelii..........
Kama ni kweli, basi wapo wengi vigogo wa CCM wenye hisa huko CCJ. Na huyu ameanza tu. Ila siamini kama kweli ameamua kuukacha ubunge, na kukimbilia CCJ. Sidhani kama ameamua kwa dhati akose haya marupurupu ya miezi hii michache iliyobaki. Kwanini asingehama baada ya bunge kuvunjwa?
Nimeandikiwa sms na mtu wangu aliyeko pale MAELEZO. Hata Michuzi ametundika picha yake sasa.chanzo?
Mkuu leo ni Tarehe 30.03.2010 Majimbo ya uchaguzi huwa yananichanganya saaana haswa haya KIBAKWE na KISHAPUWeee Kishapo haoipo Kigoma ipo Shinyanga.....itakua wamedanganya leo sio Tar 1 April