Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

Mh. ukitoka hapo njoo na zoezi la vyetu fyeki ktk mkoa wako. wako wengi sana sana, hili ndilo litakupa heshima zaidi kuliko hata hili.
 
That's no more huoni wamerudishwa job? Ngoma ni wale waliokwisha kufa. Sijui watawafuata huko makaburini kuwauliza ni kwa nini wamewahi kufa? Time will tell
Wanaorudishwa ni wale Darasa la 7 walioajiriwa kabla ya 20 May 2004. Wale waliodanganya vyeti hawarudi.
 
Huyu mdada amecommit fallacy kwani lowasa ni mmoja hapa tanzania. Watanzania bana; huyu mdada anamaanisha LOWASSA ni ukoo baba yake anatokana nao.
Kamtaja jina siyo ukoo. Kataja Edward Lowassa
 
Sasa baada ya kujidhalilisha hivyo ndio atakaribishwa kwenye familia ya EL?
 
Yule dada ni mtoto wa Lowasa kabisa Lowasa ana roho mbaya sana kumtelekeza mtoto wake bila matunzo wakati ana mapesa mengi sna
Aliepaswa kumtambulisha mtoto kwa baba ni mama mzazi sio ofisi ya mkuu wa mkoa.Halafu Lowassa ni uko kama ilivyo kwa Mrema,Masatu,Marwa etc
 
Shida iko wapi? Dada ameomba kwenda kupimwa DNA. Huyo Fredi angeacha kulalamika na ingependeza kama kesho tunekutana naye kwa mkemia mkuu akapimwe DNA ili waunganishwe na ndugu yao.
Haya mambo siku hizi yanakwenda kisayansi.
Hajakataliwa Fred anasema kwao ni Baraka na neema, hivyo anakaribishwa sana Monduli muda wowote kwa mikono miwili, miguu miwili na moyo mmoja. Uzuri ameishakuwa mama mtu mzima haitaji kushikwa mkono kupelekwa Monduli.
Ahsante Fred kwa kumkubali dada yenu.
 
Salaam..
.
...sisi watu wa Monduli kwetu watoto ni baraka na neema, nimeshangaa ametukosa ukoo mzima kujitambulisha.

.
Namwambia Paul Makonda, nimetoka naye mbali sana, nasikitika sana anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua. Makonda nimekulea.
.

Fred Lowassa- Monduli

Hivi hapo anamshukuru Makonda kumsaidia kuongeza "baraka na neema" au anazikataa baraka na neema.
 
Shida iko wapi? Dada ameomba kwenda kupimwa DNA. Huyo Fredi angeacha kulalamika na ingependeza kama kesho tunekutana naye kwa mkemia mkuu akapimwe DNA ili waunganishwe na ndugu yao.
Haya mambo siku hizi yanakwenda kisayansi.
Kwani alishakwenda kujitambulisha kwenye familia wakamkataa!!?
 
Shida iko wapi? Dada ameomba kwenda kupimwa DNA. Huyo Fredi angeacha kulalamika na ingependeza kama kesho tunekutana naye kwa mkemia mkuu akapimwe DNA ili waunganishwe na ndugu yao.
Haya mambo siku hizi yanakwenda kisayansi.
Alikwisha kwenda kwa Lowasa akamkataa???
 
Salaam..

Nimesikia mwanamama mmoja akiongea kuwa yeye ni ndugu yetu kule Dar es Salaam. Kwa taarifa tu sisi watu wa Monduli kwetu watoto ni baraka na neema, nimeshangaa ametukosa ukoo mzima kujitambulisha.

Namwambia Paul Makonda, nimetoka naye mbali sana, nasikitika sana anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua. Makonda nimekulea.

Fred Lowassa- Monduli

Fred Lowassa anajua story za baba yake akiwa kijana? Huyo binti ana umri sawa na yeye Fred mwenyewe.
 
Back
Top Bottom