pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,713
- 13,768
Mh. ukitoka hapo njoo na zoezi la vyetu fyeki ktk mkoa wako. wako wengi sana sana, hili ndilo litakupa heshima zaidi kuliko hata hili.
Aliye juu iko siku atashuka, atakuwa 'mpira wa kona'.yeye rais wa dar haelewi hzo anajali kiki,ila anasahau kuwa cheo ni dhamana .
Vp na lile la vyeti feki, afanye pia ama?Mwacheni afanye majukumu
Wanaorudishwa ni wale Darasa la 7 walioajiriwa kabla ya 20 May 2004. Wale waliodanganya vyeti hawarudi.That's no more huoni wamerudishwa job? Ngoma ni wale waliokwisha kufa. Sijui watawafuata huko makaburini kuwauliza ni kwa nini wamewahi kufa? Time will tell
Hii sio kashfa huo ni urijali hata mungu alisisitiza tuje kuijaza dunia. asituletee nongwa.Hili linawezekana. Jesse Jackson na u-reverand wake na miheshima yake alishapata kashfa ya aina hii.
Kamtaja jina siyo ukoo. Kataja Edward LowassaHuyu mdada amecommit fallacy kwani lowasa ni mmoja hapa tanzania. Watanzania bana; huyu mdada anamaanisha LOWASSA ni ukoo baba yake anatokana nao.
Kwani yule mungu wa bongo hakudanganya cheti? Na yeye kaajiriwa lini?Wanaorudishwa ni wale Darasa la 7 walioajiriwa kabla ya 20 May 2004. Wale waliodanganya vyeti hawarudi.
Aliepaswa kumtambulisha mtoto kwa baba ni mama mzazi sio ofisi ya mkuu wa mkoa.Halafu Lowassa ni uko kama ilivyo kwa Mrema,Masatu,Marwa etcYule dada ni mtoto wa Lowasa kabisa Lowasa ana roho mbaya sana kumtelekeza mtoto wake bila matunzo wakati ana mapesa mengi sna
Waende kupima DNA Uingereza labda, vipimo vya Tanzania vinaweza kuharibiwa na Mkemia Mkuu Magogoni.
Hajakataliwa Fred anasema kwao ni Baraka na neema, hivyo anakaribishwa sana Monduli muda wowote kwa mikono miwili, miguu miwili na moyo mmoja. Uzuri ameishakuwa mama mtu mzima haitaji kushikwa mkono kupelekwa Monduli.Shida iko wapi? Dada ameomba kwenda kupimwa DNA. Huyo Fredi angeacha kulalamika na ingependeza kama kesho tunekutana naye kwa mkemia mkuu akapimwe DNA ili waunganishwe na ndugu yao.
Haya mambo siku hizi yanakwenda kisayansi.
Salaam..
.
...sisi watu wa Monduli kwetu watoto ni baraka na neema, nimeshangaa ametukosa ukoo mzima kujitambulisha.
.
Namwambia Paul Makonda, nimetoka naye mbali sana, nasikitika sana anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua. Makonda nimekulea.
.
Fred Lowassa- Monduli
Edward Ngoyai Lowasa ndio baba yake mzazi mpaka sura wamefanana sanaAliepaswa kumtambulisha mtoto kwa baba ni mama mzazi sio ofisi ya mkuu wa mkoa.Halafu Lowassa ni uko kama ilivyo kwa Mrema,Masatu,Marwa etc
hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa?Mwacheni afanye majukumu
Kwani alishakwenda kujitambulisha kwenye familia wakamkataa!!?Shida iko wapi? Dada ameomba kwenda kupimwa DNA. Huyo Fredi angeacha kulalamika na ingependeza kama kesho tunekutana naye kwa mkemia mkuu akapimwe DNA ili waunganishwe na ndugu yao.
Haya mambo siku hizi yanakwenda kisayansi.
Jesse jackson ni mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine.Hili linawezekana. Jesse Jackson na u-reverand wake na miheshima yake alishapata kashfa ya aina hii.
Alikwisha kwenda kwa Lowasa akamkataa???Shida iko wapi? Dada ameomba kwenda kupimwa DNA. Huyo Fredi angeacha kulalamika na ingependeza kama kesho tunekutana naye kwa mkemia mkuu akapimwe DNA ili waunganishwe na ndugu yao.
Haya mambo siku hizi yanakwenda kisayansi.
Salaam..
Nimesikia mwanamama mmoja akiongea kuwa yeye ni ndugu yetu kule Dar es Salaam. Kwa taarifa tu sisi watu wa Monduli kwetu watoto ni baraka na neema, nimeshangaa ametukosa ukoo mzima kujitambulisha.
Namwambia Paul Makonda, nimetoka naye mbali sana, nasikitika sana anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua. Makonda nimekulea.
Fred Lowassa- Monduli