Fraternity: Muda wa Kuanza Upya {DINI}

Hakuna kitu kiitwacho mbinguni ni utunzi wa wajanja kuwaingiza mjini
 

Attachments

  • IMG-20190622-WA0005.jpg
    54.3 KB · Views: 16
Kwa hiyo wewe mkuu unataka tuamini maoni yako na misimamo yako tu, ambayo haina kichwa wala mkia. Kila la heri
My point is clear, huwezi kuquote kitu nisichokikubali na sitokikubali. Leta hoja yako wewe kama wewe. Mana kuna dini zaidi za 2000 sasa tukiquote kwa mabudha huko utakubali
 
Haya yote unayataka kwenye kundi lako jipya yapo kwenye hilo kundi la zamani ulilokuwa unaliamini (ukristo), na sasa unalikimbia
Tatizo naona ni utekelezaji tu, na wewe kama muumini ulikuwa na wajibu wa kuyatekeleza, lakini unataka kuanzisha kundi lingine la kusaidiana. Kuna tofauti gani. Hivyo vya kusaidiana utavipataje, si ndo utarudi kwa wanachama wenzio kuomba sadaka? Au nini chanzo cha mapato ya hilo kundi lako jipya mkuu. Sioni tofauti ya kundi lako na hilo lingine.
Fafanua
 
Utofauti mkubwa sana. Labda kama hujataka kuuona. Kuna tofauti kubwa kati ya sadaka na msaada. Fraternity ni watu wenye mtazamo mmoja na lengo lao ni moja. Kumsaidia asiyejiweza sio lazima utoe hata wewe unaweza ukatoa bila kujiunga. Na utakuwa umetekeleza nguzo yetu bora kabisa katika imani hii. Wakati watu wakienda kuhiji huko Israeli kwa kutumia dola 3,000 na wakirudi wanafikiri wamekuwa nao wayahudi sisi tunasema hapana tutaenda kuwatembelea maskini huku ulikozaliwa kijijini.
 
Tatzo la wasomi ndo hili [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wanajifanya kuthink out the box
 
Tatzo la wasomi ndo hili [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wanajifanya kuthink out the box
Hata biblia iliandikwa na wenye akili walofikiri namna ya kuteka akili za watu
 
Hata hizo dini unazozilalamikia zilianzishwa na watu waliokuwa na mitazamo yako kama ulivyo na mtazamo tofauti wewe.....

Mwisho wa siku vyote vinaishia katika imani (kuamini) tu
 
Kadili dunia inapojitenga na Mungu hasa anapokiwa amekwisha tambulishwa kwao ndivyo maovu yanaongezeka Exponentially.
Hii ni kanuni.

Siku sio nyingi, utaona matukio ya ajabu sana. Sio waka sababu ya watu ila hata ardhi italalamika kama ile ya Sodoma na Gomora.

Huwezi kuachana na Mungu eti kisa mchungaji mzinzi, padri mlevi, sijui pastor mchawi.
Hii ni sababu dhaifu sana
 
Very well said
 
Mkiri Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa Maisha yako nawe utapata raha nafsini mwako,acha mbwembwe za Mpinga Kristo
Ukichelewa soon as possible Mpka mende iliyo ndani kwako itamkiri kwamba Ni BWANA NA MWOKOZI.
 
Kuacha kusali na kuamini mnako amini sio kujitenga na Mungu. Ukristo sio Mungu. Watu wanaamini kama sio mkristo huna Mungu. Nenda China 99% sio wakristo hao siwangeshakuwa wamefika huko Gomora.
 
Ofcourse, hata mababu zetu waliotaka kulinda imani zao za kuabudu walitengwa na ndugu zao wa karibu kwa kuambiwa wanamwabudu shetani ila wao waliopokea yaliyoletwa na Mzungu na Mwarabu ndo wanamwabudu Mungu
Hizo dini za mababu watu walishaziacha wakafuata dini zengine na hivi sasa watu hawataki tena kufuata mambo ila wewe unataka kuwarudisha tena kwenye mambo ya dini,una kipi cha offer huko? Kama kuna watu wanaamini Mungu na kumuewa huyo Mungu pasina dini iweje tena waje kujiiingiza kwenye dini ili iweje? Huoni unarudisha watu katika mambo yaleyale tena ambayo ndio wanajitoa huko?

Kipi cha maana kutaka watu wawe na dini?
 
Je hizi dini zilizopo zinakuzuia kuyafanya hayo yote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…