Nahisi Unataka kuwafanyia wenzio yale yale unayoyapinga. Umegundua fursa. Hayo maneno mengine yoote ni mbwembwe tu
Nani kasema mwafrika (mtu mweusi) kalaaniwa?
Hivi unajua Afrika ilikuwa kimbilio la usalama. Kwa taarifa yako tu ni kuwa Yesu alikulia Afrika
Tatizo la Afrika ni umaskini ambao una tudrive katika mambo mabaya.
Mithali 19:7
Maskini huchukiwa na ndugu zake; marafiki zake ndio zaidi: Humkimbia! Hata awabembeleze namna gani hatawapata.
Lengo lako halina tofauti na hao unaowasema unachotafuta hapo ni fursa tu. Mungu mkubwa endelea ndugu yangu utawapata tu kama wenzako wa magharibi walivyowapata wakristu ama waarabu walivyowapata waislamu.Mimi ni mkristo ila sijawahi kuelewa ukristo na nilishaachana nao kitambo sana.
Katika pitapita zangu mtaani na ndg na jamaa nimegundua asilimia kubwa ya vijana hawajihusishi tena na masuala ya dini. Hii ni either baada ya kuvunjwa moyo na viongozi wao wa kidini na kutokubaliana na mambo wadini wanafanya.
Mfano. Pasta anamuombea muumini kwa kumshika nyeti, kutembea na waumini (wake za watu), kutumia nguvu za giza katika huduma n. K
Hizi zimewapa watu wengi hofu kubwa na kukosa imani na dini.
Wakati tukiamini Israel ni Taifa la Mungu na tunaenda kuhiji huko wao wanasema kabisa kwenye maandiko yao Mtu mweusi ni mtu aliyelaaniwa.
Kuna haja sasa ya kuanzisha Fraternity au kundi la watu tusioabudu na kuamini katika misingi ya dini zao ila tunaamini uwepo wa Mungu muumba. Na msingi wa Imani hii mpya ni Afrika na sio hizi zilizoletwa na watu wa magharibi.
Msingi wa mkuu wa Imani hii ni kuwasaidia wasio jiweza kama ibada takatifu ya kumtukuza Mwenyezi Mungu.
Itaanza kama Taasisi isiyo ya kiserikali na baadaye itasajiliwa kama taasisi ya kidini{Kwa mjibu wa sheria}
Wale ndugu zetu wanaoamini sana katika dini zao waendelee ila kuquote vifungu vya maandiko yao huku sio mahali pake.
Soon Tutawaletea Taarifa kamili. ASANTENI.
Mazingira uliyokulia mkuu
Hakuna binadamu mkamilifu
Biblia imezungumza kila kitu manabii wa uwongo wametajwa
Hata wakati ule Mungu anaongea na manabii watenda dhambi walikuwapo
Usijifiche kwenye kivuli cha udhaifu wengine kuhalalisha udhaifu wako
Kumbuka km umeona kuna watu wanapitosha unasimama wewe kuusmamia ukweli
Lengo lako halina tofauti na hao unaowasema unachotafuta hapo ni fursa tu. Mungu mkubwa endelea ndugu yangu utawapata tu kama wenzako wa magharibi walivyowapata wakristu ama waarabu walivyowapata waislamu.
Umesema zilizoletwa na watu wa Magharibi na kuwekea mifano umesahau zilizoletwa na wa mashariki wanakokata vichwa watu kwa kusingizia Quruani inasema hivyo. Mungu gani anaye amuru watu wahukumu wenzao? Hao wote wanamuamini Yesu wengine wanamwita Issa bin Mariam lakini huyo Issa alisema usihukumu usije ukahukumiwa mara ngapi humu watu wanaleta thread zao wakibishana ipi ni dini ya kweli wakati hakuna hata mmoja anayeweza kutuambia kama kuna ya kweli ama siyo maana wote wametapeliwa na kufuata vitu ambavyo vilitokea huko nyuma wakati wao hawakuwepo na wameamua kuwasikiliza na kuziita imani zao za kishenzi.
Ndiyo ujue kwanini tunaitwa shit holee ni kweli ni shit holes.
Hakuna sehemu imeandikwa tajiri hataona ufalme wa Mungu. Huo ni uzushi mkuuImeandikwa pia tajiri hata uona ufalme wa Mungu. Lipi ni lipi. Hili pia lilishatabiliwa kuwa mtakuja na vifungu vya biblia tusio iamini. Na kushinda uthaifu wa kuwa dini pekee ni ukristo is a huge achievement to mankind development.
Ngoja wafia Dini waje --wata-kushambulia mpaka basi
Katika imani kuna mambo mengi ila katika yote jambo kubwa ni kuvishinda vishawishi na kusimamia pale unapoamini,kuwa mkristo au muisilamu sio kigezo cha kuingia peponi bali matendo yetu ndio funguo zetu na ndio maana kuna njia ya wema na ubaya,hapo utachagua mwenyewe na sio kufuata kile ukionacho kwa watumishi wa Mungu sababu wao pia ni binadamu na wanapitia changamoto na vishawishi
Niongeze tu hapo tatizo letu ni umaskini uliosababishwa na hao hao tunaofuata dini zao. Wakati wanatuuza kama mali ghafi walikua hawachukui vimbaumbau walikua wanachukua watu ambao wangesaidia kuinua uchumi wa watu wao.Nahisi Unataka kuwafanyia wenzio yale yale unayoyapinga. Umegundua fursa. Hayo maneno mengine yoote ni mbwembwe tu
Nani kasema mwafrika (mtu mweusi) kalaaniwa?
Hivi unajua Afrika ilikuwa kimbilio la usalama. Kwa taarifa yako tu ni kuwa Yesu alikulia Afrika
Tatizo la Afrika ni umaskini ambao una tudrive katika mambo mabaya.
Mithali 19:7
Maskini huchukiwa na ndugu zake; marafiki zake ndio zaidi: Humkimbia! Hata awabembeleze namna gani hatawapata.
Kwenye vitabu vyao imeandikwaHakuna sehemu imeandikwa tajiri hataona ufalme wa Mungu. Huo ni uzushi mkuu
Vitabu vipi hivyo? vya akina nani?Kwenye vitabu vyao imeandikwa
WATU WOTE NIKIWAONAGA HUMU WANABISHANA KUHUSU HIZO DINI ZAO NAWAONA KAMA WENZAWAZIMU WENGINE NAWAHESHIMU WAMESOMA LAKINI WANAINGIA KWENYE MTEGO NA KUAMINI NOVEL ZILIZOANDIKWA MIAKA 2000 ILIYOPITA HAZINA HATA MHAKIKI. BORA HATA IMANI YA SIKHI MAANA TUNAJUA ALIYEIANZISHA ALIKUA NA LENGO GANI KULIKO HATA HAWA WEHU WA HIZI DINI MBILI MPAKA WANANITIA KICHEFUCHEFUMimi ni mkristo ila sijawahi kuelewa ukristo na nilishaachana nao kitambo sana.
Katika pitapita zangu mtaani na ndg na jamaa nimegundua asilimia kubwa ya vijana hawajihusishi tena na masuala ya dini. Hii ni either baada ya kuvunjwa moyo na viongozi wao wa kidini na kutokubaliana na mambo wadini wanafanya.
Mfano. Pasta anamuombea muumini kwa kumshika nyeti, kutembea na waumini (wake za watu), kutumia nguvu za giza katika huduma n. K
Hizi zimewapa watu wengi hofu kubwa na kukosa imani na dini.
Wakati tukiamini Israel ni Taifa la Mungu na tunaenda kuhiji huko wao wanasema kabisa kwenye maandiko yao Mtu mweusi ni mtu aliyelaaniwa.
Kuna haja sasa ya kuanzisha Fraternity au kundi la watu tusioabudu na kuamini katika misingi ya dini zao ila tunaamini uwepo wa Mungu muumba. Na msingi wa Imani hii mpya ni Afrika na sio hizi zilizoletwa na watu wa magharibi.
Msingi wa mkuu wa Imani hii ni kuwasaidia wasio jiweza kama ibada takatifu ya kumtukuza Mwenyezi Mungu.
Itaanza kama Taasisi isiyo ya kiserikali na baadaye itasajiliwa kama taasisi ya kidini{Kwa mjibu wa sheria}
Wale ndugu zetu wanaoamini sana katika dini zao waendelee ila kuquote vifungu vya maandiko yao huku sio mahali pake.
Soon Tutawaletea Taarifa kamili. ASANTENI.
Mimi nimesoma hakuna hicho kitu. Wewe uliyekikuta ulete hapa ushahidi. La sivyo futa kauli yako na ukae kimya milele. usipotoshe watuKachukue biblia na usome tena.