dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,753
- 2,734
Muda wa masomo husika unategemea na Seminari au Chuo (Kikuu) husika. Siyo lazima iwe hiyo miaka mitatu au minne, inaweza kuwa chini ya hapo.Frateli anasoma kuanzia Mwaka wa kwanza falsafa mpaka wa 3 halafu Theolojia kwa miaka mitatu au minne.
Siyo lazima pia iwe mwaka mmoja, inaweza kuwa miezi sita, mwaka mmoja, miwili au zaidi kulingana na utaratibu wa Shirika au Jimbo husika. Hakuna muda maalum.Baada ya Theolojia atatumwa mwaka wa kichungaji kwenye Parokia Moja wapo kwa mwaka mmoja.
Arudi Seminari Kuu kufanya nini tena!!?Baada ya hapo atarudi Major seminary tena na kuomba jimboni kwake kupewa Ushemasi.
Shemasi lazima aje awe padri. Labda Fratel ndio kafeli.
Jibu sahihi na fasaha la swali lako lipo post #22.Wakuu habari za muda!! Naomba kujua frateli ni nani katika kanisa katoliki na Shemasi no nani na wana ngazi gani za elimu
Thread Closed....Kwa Kanisa katoliki
Frateli ni mwanafunzi aghalabu aliemaliza kidato cha sita na kuanza mwaka wa kwanza Seminari kuu au nyumba za malezi au vyuo vikuu, Seminari kuu ni kama vile Peramiho, Kipalapala, Kibosho, Segerea, Kahama n.k.
Frateli anasoma kuanzia Mwaka wa kwanza falsafa mpaka wa 3 halafu Theolojia kwa miaka mitatu au minne.
Baada ya Theolojia atatumwa mwaka wa kichungaji kwenye Parokia Moja wapo kwa mwaka mmoja.
Baada ya hapo atarudi Major seminary tena na kuomba jimboni kwake kupewa Ushemasi.
Anaacha kuitwa Frateli baada ya kupewa daraja ya Ushemasi ambapo ushemasi umegawanyika katika makundi mawili
i. Ushemasi wa mpito- Kuelekea daraja Takatifu ya upadre
ii. Ushemasi wa kudumu - Anabaki milele shemasi.
Mara nyingi ndani ya mwaka mmoja Huwa shemasi wa mpito ikiwa sio shemasi wa kudumu anakua ameshapata daraja ya upadre.
Maeneo mengi ya majimbo ya Tanzania ila sio yote mafrateli hupata Ushemasi mwezi Desemba na upadre mwezi June mpaka Agosti mwaka unaofuata hivyo ndani ya miezi 9 Huwa frateli amepata daraja ya Ushemasi na upadre.
Mashemasi wanawekewa mikono sio kwaajili ya ukuhani Bali kwajili ya huduma ya utumishi.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Ufrateri ni hatua mojawapo anayopitia mtu akiwa katika mafunzo ya upadre. Sikumbuki ni mwaka wa ngapi wa mafunzo yao.Wakuu habari za muda!! Naomba kujua frateli ni nani katika kanisa katoliki na Shemasi no nani na wana ngazi gani za elimu
Thread Closed....
Kwa Kanisa katoliki
Frateli ni mwanafunzi aghalabu aliemaliza kidato cha sita na kuanza mwaka wa kwanza Seminari kuu au nyumba za malezi au vyuo vikuu, Seminari kuu ni kama vile Peramiho, Kipalapala, Kibosho, Segerea, Kahama n.k.
Frateli anasoma kuanzia Mwaka wa kwanza falsafa mpaka wa 3 halafu Theolojia kwa miaka mitatu au minne.
Baada ya Theolojia atatumwa mwaka wa kichungaji kwenye Parokia Moja wapo kwa mwaka mmoja.
Baada ya hapo atarudi Major seminary tena na kuomba jimboni kwake kupewa Ushemasi.
Anaacha kuitwa Frateli baada ya kupewa daraja ya Ushemasi ambapo ushemasi umegawanyika katika makundi mawili
i. Ushemasi wa mpito- Kuelekea daraja Takatifu ya upadre
ii. Ushemasi wa kudumu - Anabaki milele shemasi.
Mara nyingi ndani ya mwaka mmoja Huwa shemasi wa mpito ikiwa sio shemasi wa kudumu anakua ameshapata daraja ya upadre.
Maeneo mengi ya majimbo ya Tanzania ila sio yote mafrateli hupata Ushemasi mwezi Desemba na upadre mwezi June mpaka Agosti mwaka unaofuata hivyo ndani ya miezi 9 Huwa frateli amepata daraja ya Ushemasi na upadre.
Mashemasi wanawekewa mikono sio kwaajili ya ukuhani Bali kwajili ya huduma ya utumishi.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Umemaliza kila kitu ubarikiwe sana!! Huwa navutiwa na malezi yao ni hazina ya kanisaKwa Kanisa katoliki

Umeeleza vizuri sana mkuu, sasa elezea tofauti iliyopo kati ya Mkileri na Kuhani ni ipi?Mashemasi wanawekewa mikono sio kwaajili ya ukuhani Bali kwajili ya huduma ya utumishi.
Hujui kupotezea? Au hadi tukulishe nguruwe?Hii mada ya kikatoliki inakujaje hapa? Ni bora kukawa na majukwa ya madhehebu na dini zake wakajadili huko wanaohusika na hayo
Sio kweli, bora ungekaa kimyaShemasi ni aliyefeli kuwa padre kwasababu flani flani,frateri nafikiri bado yupo kwenye hatua za kuwa Padre
Loads of borrocksHapo kuna watu wawili kwenye nafasi mbili kuna ndugu kiroho na msaidizi wa kiroho.
Ila kwa tamaduni mlizo zoezwa huko makanisani kwa sasa huyo frateli hana nafasi ila utasikia baba, mama wa kiroho kama aliyekusimamia kwenye kipa bora ooh sorry kipaimara au ubatizo.
Shemasi kadharika hiyo mtu mmemfanya ndiye anasimamia wavaa nusu utupu, vibaka, kukusanya mapato ya kanisa nk na ameacha nafasi yake inayotakiwa ya usimamizo kiroho.
Note; hayo ni kwa jinsi nilivyofahamu.
Miaka nane anajifunza nini zaidi ya ujinga na ushoga?Hizo ni Stages tu kwenye ngazi za kuwa padri ..frateli hapa huwa ndo anaanza mafunzo na kupewa basics na huchukua muda mrefu mpaka miaka au 8 kutegemeana na shirika ..ukifuzu unaenda kuwa shemasi hapa hukai sana haipiti miaka mi2 unakua padri
Pia wametofautiana kimajukumu shemasi ana madaraka makubwa kwenye kumsaidia padri wakati wa ibada tofauti na flateri
Flatteri ni mtu ambaye yuko flat kichwani hamna kitu kichwani kanisa katoloki linajaribu kumuingizia vitu kichwani vya masomo ya UpadriAta frateri sio kwamba kafeli Ni stage ya mwanzo kwenye hatua ya upadri,ukimaliza form 6,unaenda mwaka mmoja mwaka wa kichungaji Kisha ndio unaendelea mbele na ndio unakopata ufrateri,shemasi huwa mwishoni mwishoni kabla ya upadri
Mkuu ili mtu aweze kupitishwa kua Katekista inabidi awe na elimu gani?Frateli anasoma kuanzia Mwaka wa kwanza falsafa mpaka wa 3 halafu Theolojia kwa miaka mitatu au minne.
Punguza hasira za kijinga.Miaka nane anajifunza nini zaidi ya ujinga na ushoga?
Ushoga umeingiaje tena hapo?Miaka nane anajifunza nini zaidi ya ujinga na ushoga?
Mpotezee huyo anataka battle fanya km hujamuona anataka kuchafua hali ya hewa,Punguza hasira za kijinga.