Huyu Aeshi hajawahi shinda ubunge bali alipewa na mahakama, kwa kifupi hata huyo Frank hana chake hapo jimbo ni la UKAWA.
Aesh ni mbunge wa Sumbawanga mjini sio vijijini! hata hivyo msisumbuke sana jimbo limeshachukuliwa na Chadema(UKAWA).
sumbawanga mjini hata angegombea kikwete hapiti jimbo ni la ukawa kupitia chadema,au huna taarifa za uchaguzi wa serikali za mitaa
Mkuu mwasu naamini wewe ni kijana unaeyatazama mambo critically,,so far ni mwana ukawa gani ambae anania ya kuchukua jimbo na sera zake zilizokuconvice kumpa kura?au ndo yale yale ya kupigia kura chama?

Nakubaliana na wewe mkuu chilumendo kuhusu issue ya serikali za mitaa na ninawapongeza sana kwa ushindi ule,,,hiyo ndiyo siasa ya kweli na tunajipanga kusahihisha makosa kwenye uchaguzi wa mwezi october,,tuwapime wagombea bila kujali chama kwa mabadiliko ya kweli ya tanzania yetu