utasikia bellon dor anapewa subiri uone..anastahili, angekosa mwaka huu asingepata tena.
![]()
Franck Ribery has been selected as the UEFA Best Player in Europe award ahead of Lionel Messi and Cristiano Ronaldo
na kwanini unaharibu jina la mwezako au unajisikia vizuri ukisema nesinesi na ronaldo wamefunga magoli mengi zaidi...lakini yeye amebeba makombe matatu...
na kwanini unaharibu jina la mwezako au unajisikia vizuri ukisema nesi
na uyo wa pili nae huko nyuma ameganda au ananin'giniaMwenzangu ninae chini ya kitovu hapa ananing'inia...
Kila mimi nilipo nae yupo