Unauliza au unahitimisha niliyoyasema?mapambano mangapi ya maugo ushaangalia?rejea pambano la maugo na karama nyilawila la ddc magomeni!kumbuka tyson akishindwa kumknock out mpinzani mpaka raundi ya 6 alikuwa na hali gani?mtafute boxer yeyote muulize boxer akiwa na pressure ya pambano kabla hajapanda raundi ya kwanza anakuwaje katika kupoteza pumzi!halafu jiulize kama ngumi zina miziziology kwanini sumbawanga hamna maboxer au kwanini mikanda mikubwa duniani haishikiliwi na waafrica ambao ndo wanaaminika kwa juju?...subiri burudani may 5!mayweather vs cotto hapa mtanichosha!