frame za maduka na store KARIAKOO.

frame za maduka na store KARIAKOO.

dullymo

Senior Member
Joined
Aug 21, 2009
Posts
105
Reaction score
5
Salaam wadau.

kuna frame zinapangishwa zimebaki mbili nyumba ipo KARIAKOO karibu na soko. maduka ni makubwa na yanafaa kwa ajili ya biashara kama ya SPARE za magari au pikipiki, Boutique, dula kubwa la chakula, na biashara zingine zinazoendana na hizo.

kodi kwa mwezi ni milioni moja (1,000,000) tu na malipo ni kwa mwaka mzima.

pia nyumba hiyo hiyo ina store au wengine wanaita magodown 3 na kila moja inapangishwa kwa laki 7 (700,000) tu kwa mwezi pia malipo ni kwa mwaka mzima.

nikipata muda nitaipiga picha kama kutakuwa na umuhimu huo.

yoyote aliye interested anaweza kunipata katika

0713 744 144 - abdul
 
Unamaanisha 12million.....kodi ya mwaka! haya wenye vijisenti mjimwaye mwaye...
 
Umeipenda kaka?
Hiyo bei kwa maeneo anayoyasema inalipa sana, kwa wafanyabiashara (siyo umechukua kamkopo ka milioni30 ndy uanze! itakula kwako)
 
yup ndo hivyo bro si unajua sehemu zenyewe hotcake kwa biashara. jirani yetu yeye amepangisha ml 1.7 kwa mwezi kwa sababu tu eti ni ghorofa. lakini nashkuru mungu mpaka jana moja ishachukuliwa na nyingine tupo kwenye maelewano . . . . .
 
Umeipenda kaka?
Hiyo bei kwa maeneo anayoyasema inalipa sana, kwa wafanyabiashara (siyo umechukua kamkopo ka milioni30 ndy uanze! itakula kwako)

mtaa kama wa pili hivi pale maeneo ya sokoni ni mpk ml 5 kwa mwezi bro na watu wanaomba leo kesho washindwe biashara wapachukue wao.
 
Back
Top Bottom