Frame ya biashara

wise samura

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
515
297
Nataka nifungue mgahawa wapi ntapata frame nzuri iliokaa kibiashara zaidi naombeni msaada juu ya hilo
 
Duuh, wewe wa hovyo kweli...., huo mgahawa lazima utakufa tu. Unadhani sisi ni wapiga ramli? unatuuliza wapi wakati hatujui upo wapi? hatujui ni mgahawa wa standard gani? Mimi nipo Malinyi ulanga, njoo ufungue hapa stendi ya mabasi na pikipiki. By the way hili si jukwaa la mambo hayo..
 
Back
Top Bottom