Frame inatafutwa.

Frame inatafutwa.

Ikumbilo

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2010
Posts
455
Reaction score
65
Natafuta frame kwa ajili ya kufanya biashara Jijini Dar,mwenye ufahamu naomba anisaidie kwa kuni PM. Asanteni.
 
unataka maeneo gani? mimi ninazo kinondoni A barabara ya kwenda posta ipo ya laki 350, na 450, pia ipo ya laki 4, na 150. pia ninazo mikocheni kwa mwalimu laki 450 . mimi ni commission agent 0657 145555 au 0778 625 039. Tom
 
Back
Top Bottom