Four Seasons Hotel, Serengeti

Four Seasons Hotel, Serengeti

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
ImageUploadedByJamiiForums1432405280.325004.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432405296.940431.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432405323.943035.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432405349.689484.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432405364.626871.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432405385.273685.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432405411.607037.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1432405441.238181.jpg
 
Vipi kuhusu gharama ya kulala hapo mkuu

Kuna bei tofauti kutokana na chumba na season.
Kwa wiki hii, savannah room ni USD $1000 per night. Watu Wawili, King bed. Twin Bed ni $1150.
Bei ni pamoja na chakula cha asubuhi, mchana na jioni, pombe na wi-fi.
 
USD $1000 per night. Watu Wawili, King bed. Twin Bed ni $1150.
Bei ni pamoja na chakula cha asubuhi, mchana na jioni, pombe na wi-fi.

Hizo namba ni sahihi au umekosea ukaongezea sifuri au??

USD 1,000 = zaidi ya TZS 2,000,000 kwa sasa. Ni kweli? au ulimaanisha USD 100??
 
Na sis cronic barchalors kunae totoz hpo za kutupooza ili asubh tusije kulila fedha zetu

kama wapo heb tupe na tagprice ni ela ngap? kiongoz

samahan lakni !!
 
Ni nzuri ila ipo eneo lisilo hadhi yake hiyo inafaa mijini porini wekeni vitu vinavyofanania nature ya porini
 
Hizo namba ni sahihi au umekosea ukaongezea sifuri au??

USD 1,000 = zaidi ya TZS 2,000,000 kwa sasa. Ni kweli? au ulimaanisha USD 100??

Mkuu SaidAlly. Ni bei yake $1000 sio $100 kwa siku, tena chumba cha kawaida.

America au Kanada $1000 unaweza kwenda Cuba, Jamaica, Dominican Republic au Mexico WIKI nzima na ni package pamoja na ndege, chakula, na hoteli.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom