Four 27 ualimu

Four 27 ualimu

ualimu si kwa waliofeli kama wewe. ualimu ni kwa vipanga tu. karisti
 
Hapana ndugu huwezi kupata certificate ya ualimu wa primary, labda unaweza pata wa Chekechea mana kwa primary unatakiwa uwe na ufaulu kuanzia division one hadi three ya points 25. Over!!
Hata wa chekechea haupati,kwani walimu wa chekechea wanatakiwa wawe na div1 hadi 3 mwisho
 
Si ajabu mnaojibu wote mlienda kwa point 28 saizi mnajidai na nyie vichwa ety msyuuu sio lazima ujibu ety! kama unaona vipi pita kushoto waachie wenye majibu mazuri! Kejeri ndo jibu kwanini usimshaur mtu kuchukua kitu kingine kinachoendana na marks zake! Ovyo kama choo cha walevi!
 
Duuh! umewaweza
 
Back
Top Bottom