edimkali
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 212
- 139
Wakati foundation course open university inaruhusiwa naibu waziri wa elimu alinukuliwa akisema sifa za foundation course zitaruhusiwa kujiunga chuo chochote, lakini sasa hali imekua tofauti vyuo haviitambui foundation course. Inatambulika open university tu!
Tunaomba serikali itusaidie hili
Tunaomba serikali itusaidie hili