Pyepyepye JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 1,940 Reaction score 3,858 Feb 27, 2018 #1 Salam wakuu. Nahitaji kupokea kijimzigo kidogo toka China. Niko Musoma. Ni kampuni gani nzuri kwa kunifikishia hapa? Na kama iko link yao naomba nipatiwe tafadhari. Natanguliza shukrani
Salam wakuu. Nahitaji kupokea kijimzigo kidogo toka China. Niko Musoma. Ni kampuni gani nzuri kwa kunifikishia hapa? Na kama iko link yao naomba nipatiwe tafadhari. Natanguliza shukrani