Mashindano haya yalikuwepo hadi early 90s,lizards tuna matatizo makubwa hope's mwakani yatarudi pale Kayalami, yes mkuu kuona live gari inapeperuka kwa more than 300km/hrs ni joy kubwa, tuendelee kuombaWakija South Africa itakuwa safi, tunaweza kujikuna kuona kama tunaweza kuona live wakichuana vikali,
Kushuhudia zile gari zikitembea with an average speed of 250KPH ni joy to watch.
Track ikiwa imenyooka vyema wanagonga mpaka ~380KPH, sasa imagine mzigo wote huo uwe live mbele ya macho yako [emoji1487][emoji1487][emoji1487]
Tatizo mkuu ngozi nyeusi muda mwingine tukubali nasi ni sehemu ya matatizoSijui ni kwann mchezo huu kwa nchi zetu za Africa umekosa wafatiliaji wengi. Wakati ndio mchezo ambao una msisimko wa hali ya juu zaidi
Average speed ni kati ya 320 na 350 kph.Wakija South Africa itakuwa safi, tunaweza kujikuna kuona kama tunaweza kuona live wakichuana vikali,
Kushuhudia zile gari zikitembea with an average speed of 250KPH ni joy to watch.
Track ikiwa imenyooka vyema wanagonga mpaka ~380KPH, sasa imagine mzigo wote huo uwe live mbele ya macho yako [emoji1487][emoji1487][emoji1487]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ndio mkuuWashua mnajadili langalanga[emoji23][emoji23]
hIvi na hii huwa mnabetia?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ndio mkuu
Sibanduki humu, mpaka nijue langa langa vyema.Yup, unaweza kubet.... inakuwa kushidanisha diivers....