Wadau inakuwaje hii nchi?
Aliyekuwa mkuu wa kitengo cha uwekezaji bw emanuel ole naiko sasa hivi ni mkurugenzi wa masuala ya kiserikali ya kampuni ya african barick gold.
Hii inaingiaje akilini ikizingatiwa kuwa huyu bwana ndiye aliyeipokea hii kamuni akiwa mkurugenzi?
Je hii kampuni inamilikiwa na nani?
Je inalipa kodi kama waliokuwa upande wa serikali sasa hivi ni wakurugenzi wake?
Wadau naombeni mnitoe hapa.