Hivi nikuulize: Nyerere alikua member wa chama gani?
TAA, TANU, CCM
Mbona leo kuna watu wengi wa chama hicho wanamponda?
Mie si mwanachama, na sijawahi kuwa mwanachama wa chochote kati ya hivyo, kwa hiyo hilo swali siwezi kulijibu. Ni lao, si langu.
Angekua hai, unadhani wangeshindwa kujitokeza watu wa kumfungulia mashtaka?
Sijui. Alternative history has never been my strong suit.
Hivo hivo nini? Did you assume an answer I did not give? A yes or No simplistic answer maybe?
Nadhani hakushtakiwa kwa nia ya kuweka mambo sawa na ku-reestablish law and order, nashani ilikua ni mpango wao wenyewe (UMP). Walijua kabisa kua Chirac alipita mara ya pili sababu watu walivote 'against Le Pen' walasio "for Chirac", na walielewa watahitaji kukubaliana nao kwa hicho kitu.Imetokea tu bahati mbaya ahukumiwe miezi 6 kabla ya uchaguzi? we unaonaje kaka yangu?Kweli inafurahisha kuona kua hakuna mtu alie juu ya sheria ila kwa kweli nadhani hii ni politics zaidi... wanatafuta kura kwa nguvu
You entirely miss my point.
I am not interested in whether Chirac was corrupt or not.
I am not interested in whether this was a fair, balanced trial or a politically motivated one that dug left right and center only to come with frivolous charges, amplify them to the maximum, and convict Chirac unfairly only because he was of a certain pesuasion, or not.
The focus of this thread is that, the French can charge and prosecute a former president.
Tanzania hata Mwenyekiti wa CCM wa mkoa tu ni demigod anayeweza kuua in broad daylight bila kushtakiwa.
Na a former president ni "Mzee wetu" bila hata kuambiwa, "Mzee wetu" ni mtu wa aina gani, "wetu" kina nani na "Mzee wetu" anaweza kufanya vibaya au la?