Form six result slip inahtajka HESLB katika kutuma documents

Form six result slip inahtajka HESLB katika kutuma documents

JOMAKIBU

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
538
Reaction score
70
Jamaniii HV kwenye application za mikopo result sleep ya kdato cha 6 inahtajika katika kutuma hzo documents?
Nawaslisha wadau
 
Hiyo haiitajiki coz mkopo unaombwa kabla ya matokeo ya kidato cha 6 hayajatoka so wanafunzi wa mwaka husika hawana hizo result slip.
 
Hiyo haiitajiki coz mkopo unaombwa kabla ya matokeo ya kidato cha 6 hayajatoka so wanafunzi wa mwaka husika hawana hizo result slip.
Umeona kwa macho yangu kinahtajka mkuu
 
Back
Top Bottom