Mbona Kujieleza kumekuwa kugumu sana?Embu tulia andika vizuri anaomba nini?na ngazi gani?
Ipo hivi....kamaliza six this year...alikwenda jeshi na akamuachia ndugu yake amuombee udahili wa vyuo...but huyo ndugu yake bila kujua kamuombea kupitia nacte...Ngazi ni degree.
TCU watatoa 3rd Round Kuanzia kesho atanunua vocha ataomba upya.
nachojua mm nacte wanahusika na level za chet na diploma so kinachoshughulikiwa hapa ni matokeo ya form four tuu. kuna kitu cha advanced diploma hapa kwa kweli cpajua ncikudanganye.
kwa upande wa form six wao wanaapply tcu kwa level za degree tuu.
so huyo ndugu yako alie apply nacte ujue atapata chet au diploma kwanza embu muulize huyo mtu ali apply nn c ajabu hata hakuelewa vizur....
Samahani kwa usumbufu wana jukwaa, naomba kuuliza, je inawezekana aliyemaliza kidato cha sita kuomba udahili kupitia NACTE....Sababu kuna mtu alikwenda jeshini na akamwachia ndugu yake amjazie vyuo...and then amekuta yule ndugu yake kamuombea kupitia NACTE....nawasilisha!!!!
cute mambo una betHuyo hawezi kupata... cz NACTE lazma ujaze matokeo ya form 4 na chuo diploma...
Vip kati ya majina ya walio kosa vigezo jina lake hayupo?
Ni level ya degree.....ngoja tusubiri tuone utaratibu wa TCU kama wataruhusu applicationz mpya.
cute mambo una bet
poa ila nacte huwez apply degree ni diploma tuu. degree ni tcu
nachojua mm nacte wanahusika na level za chet na diploma so kinachoshughulikiwa hapa ni matokeo ya form four tuu. kuna kitu cha advanced diploma hapa kwa kweli cpajua ncikudanganye.
kwa upande wa form six wao wanaapply tcu kwa level za degree tuu.
so huyo ndugu yako alie apply nacte ujue atapata chet au diploma kwanza embu muulize huyo mtu ali apply nn c ajabu hata hakuelewa vizur....
nimekupata mkuu thanks kwa kunielewesha zaidumekosea,NACTE kupitia NOAS una apply degree ila inatumika na wale ambao tayari wana diploma,ila TCU kupitia CAS inatumia na wale ambao wanatumia matokeo ya form six(hawatumii sifa ya kuwa na diploma kuomba),iko hivyo mkuu.
pamoja mkuu nimekupataHata wenye diploma kuingia degree pia wanaomba kupitia nacte!si kweli kama nacte wanahusika na astashahada na stashahada tu
kuna mitaa nimekuonaHa ha ha poa bhana hamna mbayaaa
Ni level ya degree.....ngoja tusubiri tuone utaratibu wa TCU kama wataruhusu applicationz mpya.
Mbona Kujieleza kumekuwa kugumu sana?Embu tulia andika vizuri anaomba nini?na ngazi gani?
Huyo hawezi kupata... cz NACTE lazma ujaze matokeo ya form 4 na chuo diploma...
Vip kati ya majina ya walio kosa vigezo jina lake hayupo?