Form six kuanza mtihani wa taifa tar 7 mei

Form six kuanza mtihani wa taifa tar 7 mei

Daaah wapo wanaotamani ata ziongezwe wiki nne mbele.lakin it can't be.
Nawaombea kwa mungu form 6 wote mtihani mwema.mungu awatangulie wote.I hope wote ni best
Now its a time for all F6 to reach their dreams
 
Daah mei 7 hiyooo imefika.
Mungu awatangulie f6 wote wanaoanza leo mitihani yao ya ndoto za maisha
 
Si ungehairishwa huu mtihani.wakaongezewa ata miezi mitatu mbele.mbona ka uonevu Fulani iv.kweli miaka miwili imeisha hii
 
Naungana na wewe kuwaombea kwa ALLAH ndg zetu wadogo zetu marafik zetu katika Ufanyaji mwema wa Mitihani yao ya Form Six. All the best to them
 
Kama hukusoma miaka miwili hakuna kusubiria maajabu hasa kwa PCB na PCM..but Mungu ni wakumtanguliza
 
Tarakea high school fanyeni kweli madogo
 
Si ungehairishwa huu mtihani.wakaongezewa ata miezi mitatu mbele.mbona ka uonevu Fulani iv.kweli miaka miwili imeisha hii
Kwani ratiba si ipo hivi siku zote,kwama mwanzoni mwa mwezi may,vijana wanaingia kikaangoni!!!
 
Back
Top Bottom