Kijana yeyote bila kujali jinsia ambaye amehitimu kidato cha sita kuanzia mwaka uliopita anahitajika hapa Mbeya ili asaidie kufundisha.
Masomo yake yanapaswa kuwa ya sayansi.
Ukiwa mhusika au una ndugu yeyote uniPM
Pamoja mkuu!Tutakutafta!Ila
Kuwe na taarfa za kweli maake kuna cku aliweka mtu tangazo kama lako lakn akipgiwa cm anaanza na usajil sh.15 tuma kwanza tukuingze ktk wale watakaofanyiw interview! Mmmmh!