FORM ONE JOINING INSTRUCTION TABORA GIRLS

kimbomba25

Member
Jan 27, 2017
81
136
Naomba msaada wa Joining instruction ya kidato cha kwanza shule ya sekondari ya wasichana Tabora.

Natanguliza shukrani
 
Tafuta namba zao za simu, uwapigie wakutumie; hapa JF tunajadili tu kama formu inamapungufu au mambo ya ajabu kama lazima mwanafunzi aje na kadi ya ssm
 
Naomba msaada wa Joining instruction ya kidato cha kwanza shule ya sekondari ya wasichana Tabora.

Natanguliza shukrani
Ingia website ya wizara ya ELIMU utakuta huko kila shule unajichagulia shule unayotaka!
 
Mtoto wako akifika tabora girls mwambie pale jirani kuna vijana wa tabora boys bila kusahau wahuni wa milambo wanagenye kama zote
 
Back
Top Bottom