Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

Samahan jaman kama kuna mwenye ana fununu kuhusu matokeo ya kidato cha NNE mana kuna watu wanasema tareh 28 mwez huu sasa cjui kama ni kweli
Nb:jokes hazifai
 
Du! Nikiona link ya matokeo ya CSEE 2016, mapigo ya moyo yakimbia kwa 4G. Ila kuna watu wawili tofauti na hawajuani, waliniambia tarehe 28 mwezi huu.

Mmoja alisema kasikia kwenye redio, na mwengine kwenye eatv kipindi cha jarida.
Hizo ndio tetesi nilizosikia mimi!
Nawasilisha..
 
Back
Top Bottom