Form four results 2012

watu wote wangekua wanatoa maneno kama haya kwa watu,ungekuta wengi sana wamefariki au kukata tamaa!!!
Ni kweli mkuu ila sijaelewa kwanini wengi wameshindwa kumpa ufafanuzi wakati swali lenyewe ni la msingi kabisa, mtoa maeuliza humu akiamini huwa ni chanzo kizuri cha taarifa
 
Kijana kama wewe unatambua thamani ya Mungu katika maisha yako,mwombe sasa kwa kuwa haujui siku wala saa pale matokeo yatakapotoka,so mwombe Mungu matokeo mazuri lakini pia yakija tofouti Mungu akupe uvumilivu katika wakati huo mgumu ambao haujawahi pata katika maisha yako ili uweze kupata plan B iliyo nzuri kwa maisha yako,keep on praying form four leave happy or sad is around the corner.

Real! Amwamin Mungu, asiogope atafahuru tu.
 
Back
Top Bottom